jingu jr
New Member
- Jun 1, 2019
- 1
- 0
Sehem ya kifua upande wa kushoto Yan sehem ya moyo panaumaa Sanaa Hadi inapelekea moyo kuuma shida nini had?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda hospitali ya mkoa, onana na Dakktari.Sehem ya kifua upande wa kushoto Yan sehem ya moyo panaumaa Sanaa Hadi inapelekea moyo kuuma shida nini had?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kumeza vidonge viwili vya aspirin kwa tiba ya haraka lakini ni muhimu kufanyiwa uchunguziSehem ya kifua upande wa kushoto Yan sehem ya moyo panaumaa Sanaa Hadi inapelekea moyo kuuma shida nini had?
Sent using Jamii Forums mobile app