Nitajuaje kama ni mwathirika kwenye kadi ya clinic

lukwila

Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
45
Reaction score
60
Habari za usiku ndugu zangu? Poleni na mihangaiko ya majukumu, naomba msaada wa kueleweshwa juu ya namna ya kufahamu kama mama mjamzito ni positive ama negative kupitia kadi yake ya clinic.

Maana hatua ya kwanza kwa mjamzito ni kupima VVU, lakini nimeangalia kadi fulani sijaona palipoandikwa negative ama positive lakini amepimwa Ukimwi.
 
naona mapigo ya moyo yako mbio, kitulize na subiri wajuvi waje
 
Akipimwa Kadi Haiandikwi Kitu, Majibu Anaambiwa Mama
Kama Negative Ipo Alama Inawekwa Kama (✍
 
nenda kapime, acha kutumia/kutaka kumtumia mwezako kujua khali yako anaweza kuwa hana ila ww unao na kinyume chake
 
Hebu subirini tarehe 1 Dec ifike ndio mje na maukimwi yenu
 
Wewe kwanini hukwenda naye kupima
Habari za usiku ndugu zangu? Poleni na mihangaiko ya majukumu, naomba msaada wa kueleweshwa juu ya namna ya kufahamu kama mama mjamzito ni positive ama negative kupitia kadi yake ya clinic.

Maana hatua ya kwanza kwa mjamzito ni kupima VVU, lakini nimeangalia kadi fulani sijaona palipoandikwa negative ama positive lakini amepimwa Ukimwi.
 
Huyo aliyepima ni nani yako?

Sijui kama ulikuwa ni utaratibu wa kliniki ile tu au zote ndio hivyo sehemu zote ila wale walikuwa wanaandika PMTCT 1 kama positive na 2 kama negative... Pale kwenye kadi chini kabisa. Ni muda mrefu ila umepita tangu nilipoona hivyo wanaweza kuwa wamebadilisha mfumo
 
Bado wanatumia mfumo huo

Ndio hivyo hivyo
 
Hapo kwenye PMTCT Kama 1 positive, Kama 2 negative
IMG_20191128_230424_1.jpg
 
Back
Top Bottom