Nini madhara ya kutumia madawa wakati wa ujauzito?

katoto kapole

New Member
Nov 4, 2019
3
45
Naomba mnisaidie kitu wakuu,

Hivi mfano mwanamke alikuwa mjamzito akanywa midawa ikamfanya damu zitoke na kukata, ndani ya mwezi damu zimetoka na kukata mara nne akaja tena akatumia Duphastone zile dawa za kuzuia mimba isitoke lakini damu zikawa zinatoka na kukata ila sio nyingi kama mwanzo, je huyo mwanamke anaweza kupata shida gani?

Je kizazi kinaweza kuoza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

No retreat no surrender

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
1,869
2,000
Mpeleke kwa Daktari. Ila kwa uzoefu nilionao mwambie mkeo akae apumzike!

Kama alikuwa anajishughulisha na chochote aache akae ndani asifanye chochote zaidi ya kulala na kukaa.

Hii inasababishwa na uzito wa mimba kugandamiza majimaji yaliyo chini ya mfuko wa uzazi (wengine wanaita chupa ya uzazi ambayo hupasuka wakati wa kujifungua).

Sasa mkeo inaonekana inataka kupasuka kabla ya wakati na akiendelea kusimama mda mrefu au kutembea mimba itachoropoka!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom