Wakuu nisaidieni dawa ya kutibu tatizo la nyongo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu nisaidieni dawa ya kutibu tatizo la nyongo.

Discussion in 'JF Doctor' started by CHASHA FARMING, Jul 8, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,130
  Trophy Points: 280
  wakuu nasumbuliwa na tatizo la nyongo na ni kwa kipindi kirefu sana, huwa na tumia dawa za kienyeji za kutapika nyongo but huw tatizo linarudi palepale baada ya muda fulani. Huwa nyongo ikipanda sana waga nikipanda gari naanza kusikia kichefuchefu na baadae kutapika nyongo

  kama kuna mtu anafahamu dawa yakumaliza kabisa tatizo hili anisaidie
  .
   
 2. Lugovoy

  Lugovoy JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Pole sana mkuu kwa tatizo lako,umesema hii shida umekuwa nayo kwa muda mrefu na umekuwa ukitumia dawa za kienyeji za kupunguza but bado haijaisha,binafsi nakushauri uende hospitali uonane na madaktari utafanyiwa uchunguzi na tatizo lako litatibiwa vzr otherwise kama umeambiwa hili tatizo halitibiki hospitalini,but vile vile endelea kupata ushauri wa wadau wengine mkuu.
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,334
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hapo see the dr. immediately
   
 4. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45

  Pole sana!
  Nenda hospital ukafanyiwe uchunguzi.

  Lkn, kama ulikuwa haujawahi kwenda hospitali nitakushangaa kidogo, kwa kuwa ile tu kuwa na access na internet na hata ile kujua kuna jamiiforums.com na ukaweza kuitumia, najua una exposure, pia utakuwa unaishi mahali ambapo kumpata DAKTARI WA UHAKIKA siyo issue - sasa inakuwaje ukomalie madawa ya kienyeji kabla ya kwenda hospitali kwanza!

  Tubadilike jamani (japo dawa nyingi za kitaalamu, yaani modern medicines, ni products zinazotokana na mitishamba lkn modern medicines zina ingredients zinazotibu tu na zinatumika kwa kiwango knachotakiwa mwilini tofauti na dawa za kienyeji ambazo zina ingredients kibao, na ingredients zingine hazitakiwi mwilini kwa maana ya kwamba zinaweza kusababisha matatizo kiafya, kuzidisha tatizo n.k.)

  Nenda hospital!
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  Wahi hosp. isije kuwa tatizo kubwa zaidi.
   
Loading...