Ufwandunkanye
Senior Member
- Jan 7, 2017
- 123
- 193
Leo ni siku ya tatu, tangu mwanangu aanze kuharisha. Sijajua sababu ni nini.
Kabla sijampeleka hospitali, naombeni msaada wenu wa mawazo. Kwa maana umbali hadi hospitali ni maiili nyingi mno, na nipo shamba.
Je, hii ni hali ya kawaida kwamba ni mabadiliko ya ukuaji au ugonjwa?
Sent using Jamii Forums mobile app