Msaada: Huu ni ugonjwa gani?

Jan 24, 2020
28
25
Ilianza vipele vidogo sana alafu vyekundu usoni karibu na pua mara baadae nikaviona tena chini ya jicho kesho yake asubuhi vikawa vimeshajaa maji japo sio vyote, lakini naona kama vile vinaongezeka. Msaada jamani.
 
Ilianza vipele vidogo sana alafu vyekundu usoni karibu na pua mara baadae nikaviona tena chini ya jicho kesho yake asubuhi vikawa vimesha jaa maji japo sio vyote lakini naona kama vile vinaongezeka msaada jamani

Weka picha kusaport maelezo yako maana hayajitoshelezi.

NB:
Nenda hospitali maana humu utapata majibu ya kila haina, yapo ya kweli na mengine si ya kweli.
 
Ilianza vipele vidogo sana alafu vyekundu usoni karibu na pua mara baadae nikaviona tena chini ya jicho kesho yake asubuhi vikawa vimeshajaa maji japo sio vyote, lakini naona kama vile vinaongezeka. Msaada jamani.
nahisi kuna mdudu kakutembelea ana tabia ya kukojolea kila anapopita unapaniki bure!! hasa msimu huu wa mvua ni vingi sana, anaitwa nairobi fly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inaweza kuwa ni yy kweli maana hata ndani hawa wadudu nawaona wengi nime Google nikamuona anana kweli na hawa ninao waona anaitwa narrow bee fly ila kutokana na watu kushindwa kutamka kwa ufasaha wanamuita nairobi fly naomba pia kujua jinsi ya kujitibu
 
P

paka mafuta ya taa kama first aid then nenda hospital watakupa dawa ya kupaka ila kama ni huyo mdudu jiandae kuharibika sura kwa muda,,,
 
inaweza kuwa ni yy kweli maana hata ndani hawa wadudu nawaona wengi nime Google nikamuona anana kweli na hawa ninao waona anaitwa narrow bee fly ila kutokana na watu kushindwa kutamka kwa ufasaha wanamuita nairobi fly naomba pia kujua jinsi ya kujitibu
Mpaka sasa hakuna dawa rasmi ila madhara yake ni ya muda mfupi muhimu ni kuhakikisha unavaa nguo zilizonyyoshwa kwa pasi wakati huu wa baridi na kupuliza dawa ya kuua wadudu
 
Back
Top Bottom