Je, Sex ni kisababishi cha mtoto kupungua uzito?

gluckkcom

JF-Expert Member
Jun 21, 2019
362
787
Miezi 3 iliyopita nilibahatika kupata mtoto wa kike. Baada ya hapo sikuruhusiwa kulala na mke wangu kwa miezi mitatu mfululizo.

Ndani ya miezi hiyo yote mitatu mtoto alipelekwa klinic na uzito wake ulikuwa unaongezeka hadi mara ya mwisho kabla ya kuruhusiwa sisi kulala wote kwa pamoja rasmi ulikuwa ni kilo 6.

Ila baada tu ya kuruhusiwa kulala pamoja show zikaanza kati ya mimi na mzazi mwenzangu.

Ilipotimu tarehe 20 mwezi huu ilikuwa ndio tarehe ya kurudi tena clinic ila baada ya kupimwa uzito gram 5 zilionekana kupungua katika uzito wake wa mwanzo kabla ya kuruhusiwa kulala pamoja.

Sasa nauliza je, ni kweli sex ni kisababishi cha mtoto kupungua uzito?
 
Miezi 3 humgegedi mkeo, au alizaa kwa njia ya upasuaji? Hapo si ushapata nyumba ndogo?
Mwambie mkeo ale vyakula ili apate maziwa ya kumnyonyesha mtoto, mabinti wengi hawapendi kunenepa wakiwa wanayonyesha
Yah kwa upasuaji alijifungua
 
gluckkcom,
Miezi 3 humgegedi mkeo, au alizaa kwa njia ya upasuaji? Hapo si ushapata nyumba ndogo?
Mwambie mkeo ale vyakula ili apate maziwa ya kumnyonyesha mtoto, mabinti wengi hawapendi kunenepa wakiwa wanayonyesha
mi najifungua kwa upasuaj na ckai miez 3 yote hiyo, ila nahakikisha nakula sana nanenepa, namuonea huruma mr nampa tu
 
Miezi 3 iliyopita nilibahatika kupata mtoto wa kike. Baada ya hapo sikuruhusiwa kulala na mke wangu kwa miezi mitatu mfululizo.

Ndani ya miezi hiyo yote mitatu mtoto alipelekwa klinic na uzito wake ulikuwa unaongezeka hadi mara ya mwisho kabla ya kuruhusiwa sisi kulala wote kwa pamoja rasmi ulikuwa ni kilo 6.

Ila baada tu ya kuruhusiwa kulala pamoja show zikaanza kati ya mimi na mzazi mwenzangu.

Ilipotimu tarehe 20 mwezi huu ilikuwa ndio tarehe ya kurudi tena clinic ila baada ya kupimwa uzito gram 5 zilionekana kupungua katika uzito wake wa mwanzo kabla ya kuruhusiwa kulala pamoja.

Sasa nauliza je, ni kweli sex ni kisababishi cha mtoto kupungua uzito?
Mke wangu amejifungia kwa kisu lakini hatukusubiri hata miezi 2.
Kwani mkeo alikua na matatizo gani?
By the way kila akipimwa clinic uzito umeongezeka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miezi 3 iliyopita nilibahatika kupata mtoto wa kike. Baada ya hapo sikuruhusiwa kulala na mke wangu kwa miezi mitatu mfululizo.

Ndani ya miezi hiyo yote mitatu mtoto alipelekwa klinic na uzito wake ulikuwa unaongezeka hadi mara ya mwisho kabla ya kuruhusiwa sisi kulala wote kwa pamoja rasmi ulikuwa ni kilo 6.

Ila baada tu ya kuruhusiwa kulala pamoja show zikaanza kati ya mimi na mzazi mwenzangu.

Ilipotimu tarehe 20 mwezi huu ilikuwa ndio tarehe ya kurudi tena clinic ila baada ya kupimwa uzito gram 5 zilionekana kupungua katika uzito wake wa mwanzo kabla ya kuruhusiwa kulala pamoja.

Sasa nauliza je, ni kweli sex ni kisababishi cha mtoto kupungua uzito?
Tusio na wake tunacomment wapi

Inawezekana kama huwa unanyonya maziwa ya mama( mkeo) na hivyo mtoto kukosa msosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mama ale vizuri na amnyonyeshe mtoto vizur? shoo piga kama kawa usije ukatoka njia kuu.

Tanbihi hakikisha apati mimba
 
Back
Top Bottom