Shuku_
Senior Member
- Sep 26, 2019
- 191
- 275
Moja kwa moja kwenye mada.
Hali hiyo ya Jogoo kuwika pasipo kawaida imentokea siku za hivi karibuni.
Imezoeleka mwanaume yeyote akiamka asubuhi jogoo huwika lazima na baada ya muda fulani hali hiyo huondoka lakini kwangu ilidumu kwa muda mreeefu hali hiyo hadi kupelekea maumivu.
Wadau, nahitaji kujua tatzo hili husababishwa na nini.
Natanguliza shukrani 🙏🙏