Bei ya mashine ya kupima sukari

Bei ya mashine ya kupima sukari

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
867
Reaction score
884
Nina ndugu yangu ni mgonjwa wa sukari. Nahitaji kumnunulia mashine ya kupima. Ipi ni aina bora ya mashine ya kupima sukari lakini inayouzwa kwa bei nzuri/nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina ndugu yangu ni mgonjwa wa sukari. Nahitaji kumnunulia mashine ya kupima. Ipi ni aina bora ya mashine ya kupima sukari lakini inayouzwa kwa bei nzuri/nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Karibu tukuhudumie, Karibu inbox

9C64C254-20AE-47A0-B7A7-D25BF477190B.jpeg
 
Back
Top Bottom