Huwa nasumbuliwa na tatizo la mwili kuchemka kama moto,haswahaswa tumbo na kifua,sometimes na mgongoni,pia mkono wa kushoto huwa unatetemeka sana nikishika kitu,wakati mwingine mapaja hadi kwenye...
Wakuu mmeamkaje huko mliko sisi huku tu wazima wa afya ila tunachangamoto ya ulimi kuwa na maumivu kama umechanwachanwa, hata maji ukinywa maumivu unayaskia.
Shida inaweza kuwa nini au tiba yake...
Habarini wakuu,
Mimi ni kijana mdogo wa umri siku za karibuni nimekua nikisumbuliwa na kutoka jasho (sweating) kipindi napata kula.
Nakua natoka na jasho sehem ya mbele ya kichwa na uso yani...
Msaa wa ushauri na maoni wadau ni zaidi ya week sasa kila wakati ninapo taka kupata haja kubwa tumbo linanikata kidogo na huwa napata choo kilaini sana.
Shida inaweza kua nini wanazengo?
Wadau nina mtoto mchanga wa siku kumi, anasumbuliwa sana na kukosa choo ana siku ya 4 hajakipata tumempa glucose siku 2 bado hajapata, kama kuna mwenye ufahamu chanzo ni nini tafadhali tujuzane na...
Habari wanajukwaa hili la JF,
Mimi ni mjamzito na ni ujauzito wangu wa kwanza, wakati ipo changa nilikua nasumbuliwa sana na morning stickiness hata maji nilikua sinywi, natema mate tu na...
Nitangulize shukrani kwenu nyote wana JF, kwa kazi nzuri ya kuelimishana juu ya mambo mbalimbali katika jamii yetu, Shukrani sana ziwafikie.
Nimekuwa, na tatizo au maumivu makali sana kifuani...
Coma ni ile hatua ya mwisho ya kupepea uhai wa mgonjwa aliye kufa awali (Collecting life from early dead)!
Hizi ni harakati za kitabibu za kuendeleza uhai uliotwaliwa kwa kutumia mitambo maalum...
Habari wakuu,
Hivi hivi vipandikizi vya uzazi vijiti eti vinachangia mwanamke asisikie hamu ya kujamiiana, maana nina mtoto ana mwaka mmoja ila wife kaweka kijiti cha miaka 3.
Sasa wakati...
Habari wana jamvi.
Naomba msaada tumbo langu naona limejaa sana gesi nashindwa mpaka kula vizuri.
Sijui shida ni nini maana nakula kidogo sana tumbo linakuwa lishajaa wakati sio kawaida naomba...
Naenda moja kwa moja kwenye mada wakuu!
Hivi mtu akijamba na ile harufu ya Ushuzi inayotoka muda huo huwa inanuka sana, sasa hii inachangiwa na chakula mtu anachokula au inakuaje?
Je, kuna...
Hello wadau wa JF doctor, natumaini mu bukheri wa afya. Naomba msaada wa maelezo na suluhisho kitaalam juu ya jambo hili.
Jambo lenyewe kuna wakat huwa nikikutana na wife au hata mchepuko...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kuelekezwa mahali ilipo Regency hospital, maana sikio linauma sana na pale nasikia Kuna specialist wa masikio, kwa anaefahamu msaada tafadhali
Katika mtindo wa maisha wa sasa si ajabu kukutana na baadhi ya watu wakitumia dawa za kuongeza mwili au kupunguza, kitendo ambacho madaktari wamesema kina hatari kwa afya za wahusika.
Mtaalamu wa...
Jamani, girlfriend wangu anasumbuliwa sana na tatizo la maumivu kipindi cha bleeding, kwa wanaojua kama kuna tiba yoyote ambayo inaweza kumsaidia huyu binti, naombeni mawazo. Maana huwa anapata...
Betri ya moyo ambayo kitabibu huitwa ‘pacemaker’ ni miongoni mwa vifaa ambavyo vimebuniwa ili kumsaidia mtu ambaye moyo wake unashindwa kuzalisha umeme wa kusukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za...
Kabla ya Viagra kuingia sokoni, ukosefu wa nguvu za kiume ulimaanisha fedheha, aibu na wakati mwingine ndoa au uhusiano kuvunjika. Leo hali ni tofauti, dakika 27 baada ya kumeza kidonge kimoja cha...
Salaam Waungwana.
Huu Uzi wangu niliutundima hapa jusi asubuhi lakini naona umefutwa na Wakubwa, sijui kwa mini.
Naurejea tena:
Nilihoji kuwa katika nyakati hizi ambazo kila MTU anauza dawa ya...