Pole Dear. Sio mchezo aisee.Pitia hospitali inawezekana una Hpylori hili tatizo limenisumbua mno ,sasa hivi natumia dozi two weeks kwa sasa
Raha uwe peke yako, kama uko kwenye gari uajiachia tu, kama unatembea kwa miguu unageuka nyuma kuangalia kama kuna mtu karibu.Tena Bora ikukute ukiwa home kwako. 🤣
Mi Bora niwe home. Nakuwaga very uncomfortable. Nikilalia tumbo napata reliefRaha uwe peke yako, kama uko kwenye gari uajiachia tu, kama unatembea kwa miguu unageuka nyuma kuangalia kama kuna mtu karibu.
Tumbo kujaa gesi na kupata kiungulia frequentlyIyo Hpylori ndo dalili zake zikoje
Thanx dearPole Dear. Sio mchezo aisee.
Home kuna watoto wakishajua mama yuko chumbani nao wanakuja na madoli yao.Mi Bora niwe home. Nakuwaga very uncomfortable. Nikilalia tumbo napata relief
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Home kuna watoto wakishajua mama yuko chumbani nao wanakuja na madoli yao.