Kama anatokea Kigamboni, apande mabasi ya wapi ili ashukie Fire??Kama unapanda basi shuka kituo cha fire ulizia
Kama unaenda na gari binafsi ukivuka mataa ya jengo la umoja wa vijana pembeni ya chuo cha D.I.T kuna barabara inaingia kushoto ya lami ukifuata hiyo unatokea mbele ya hospitali
Ya nn mkuuKama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kuelekezwa mahali ilipo Regency hospital, maana sikio linauma sana na pale nasikia Kuna specialist wa masikio, kwa anaefahamu msaada tafadhali
Apande mwendokasi pale feri ashuke D.I.TKama anatokea Kigamboni, apande mabasi ya wapi ili ashukie Fire??
Mwendokasi na ashuke DITKama anatokea Kigamboni, apande mabasi ya wapi ili ashukie Fire??
Kama anatokea Kigamboni, apande mabasi ya wapi ili ashukie Fire??
Apande mwendokasi pale feri ashuke D.I.T
Tufanye kwa mfano jamaa anatokea Gongo la Mboto...Mwendokasi na ashuke DIT
Apande mpk gerezani halaf apande mwendokasi mpk fireTufanye kwa mfano jamaa anatokea Gongo la Mboto...
Namsaidia jamaa, maana kauliza bila kusema anatokea wapi.
Nataka nikatibiwe sikio mkuu, maana linauma hatariYa nn mkuu
kuskia linaskia?Shukrani kwa maelekezo yenu, nawashukuru sana, maana hili sikio limenisumbua sana, nimeenda hospital 4 wanashindwa kabisa
kunitibu
Linasikia kwa mbali ila linauma asekuskia linaskia?
pole sana mkuu .maumivu ya masikio ni makali mno.zaidi ya jinoLinasikia kwa mbali ila linauma ase
Una Smartphone tumia simu yako vizuri brotherKama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kuelekezwa mahali ilipo Regency hospital, maana sikio linauma sana na pale nasikia Kuna specialist wa masikio, kwa anaefahamu msaada tafadhali
Unataka ni download map co??Una Smartphone tumia simu yako vizuri brother
Vipi ulipata matibabu!Unataka ni download map co??
Map gani ni nzuri ase