Sipati haja kubwa bila tumbo kuniuma kidogo

Emmet

Member
Jan 18, 2019
82
167
Msaa wa ushauri na maoni wadau ni zaidi ya week sasa kila wakati ninapo taka kupata haja kubwa tumbo linanikata kidogo na huwa napata choo kilaini sana.

Shida inaweza kua nini wanazengo?
 
Msaa wa ushauri na maoni wadau ni zaidi ya week sasa kila wakati ninapo taka kupata haja kubwa tumbo linani kata kidogo na hua napata choo kilaini sana. Shida inaweza kua nini wanazengo?
Kuna minyoo aina nyingi inaweza kusababisha iyo hali, hivyo nenda maabara au hospitali kwa vipimo zaidi ili ujue tatizo nini hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom