scatter boy
Member
- Mar 31, 2021
- 68
- 22
Jamani mwenye ujuzi naomba msaada.
Hari ya mapumbu (korodani) kuuma ni dalili ya ngili?
Hari ya mapumbu (korodani) kuuma ni dalili ya ngili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Korodani kuuma ni dalili ya ugonjwa wangiri ya mshipa aka ngii ya kushuka chini . Nakupiga Punyeto pia kuna changia upatwe na hayo maradhi ya ngiri. Ikiwezekana acha kupiga punyeto. ujiondowe katika chama cha kupiga Punyeto Tanzania kw akifupi kinaitwa (Chaputa).Jamani mwenye ujuzi naomba msaada.
Hari ya mapumbu (korodani) kuuma ni dalili ya ngili?
Ngiri in changia kupunguza uwezo wa uume kusimama barbara .!??Korodani kuuma ni dalili ya ugonjwa wangiri ya mshipa aka ngii ya kushuka chini . Nakupiga Punyeto pia kuna changia upatwe na hayo maradhi ya ngiri. Ikiwezekana acha kupiga punyeto. ujiondowe katika chama cha kupiga Punyeto Tanzania kw akifupi kinaitwa (Chapuwata).
kama Kawaida yanguKipimo chako cha kufikili kime ishia apo ....!!?
mkuu umepiga sana punyeto eti.Jamani mwenye ujuzi naomba msaada.
Hari ya mapumbu (korodani) kuuma ni dalili ya ngili?
una akili kubwa sana wewePUNYETO ukiifanya kwa pupa na sifa huchangia maradhi ya mfumo wa uzazi na mfumo wa mkojo kwa mwanaume
Ila punyeto ukiifanya kwa Ustadi ujuzi na uturivu
agharabu mara 1 au Kwa wiki
Husaidia kuukuza uume
kuwa strong
Kuchelewa kupiga bao na husaidia pia kufanya huweze kumudu tendo kwa raundi ya kwanza kwenda muda mrefu na kutochelewa kurudia raudi ya pili
Yote hayo yanawezekana ukiwa unafanya SAFE PUNYET0
Ndio Ukiwa na Ngiri uume wako hautaweza kusimama vizuri na pia ukiwa na maradhi ya Bawasiri aka Mgolo au futuru, uume wako hautaweza kusimama barabara.Ngiri in changia kupunguza uwezo wa uume kusimama barbara .!??
Jamani mwenye ujuzi naomba msaada.
Hari ya mapumbu (korodani) kuuma ni dalili ya ngili?
Matbabu ni mpaka operation...!!!?Ndio Ukiwa na Ngiri uume wako hautaweza kusimama vizuri na pia ukiwa na maradhi ya Bawasiri aka Mgolo au futuru, uume wako hautaweza kusimama barabara.
Sawa kakaAisee nenda Hosp haraka