curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Nitangulize shukrani kwenu nyote wana JF, kwa kazi nzuri ya kuelimishana juu ya mambo mbalimbali katika jamii yetu, Shukrani sana ziwafikie.
Nimekuwa, na tatizo au maumivu makali sana kifuani upande wa kushoto wa moyo ambayo hayana kikomo, (naumia kila muda usiku mchana) bila hata kufanya kazi yoyote naumia.
Maumivu usambaa mpaka nyuma mgongoni chini ya scapular yanauma mithili ya mtu anayechomwa na kisu au kitu chenye ncha kali au mgandamizo kama kuna jiwe kubwa.
Nimefanya baadhi ya vipimo x-ray mala mbili ambapo mwanzo ilionekana nina pneumonia, na mala ya pili ikaonekana sina tena pneumonia, wala shida ya moyo kwa kipimo hicho cha x-ray.
Nimepima pia ugonjwa wa figo nikaambiwa nina vitu kama vidonda vidonda vidogo kwebye figo ambapo nilipewa dawa lakini tatizo ilo halikuisha, daktari mwingine akanambia labuda nitakuwa na ulcers, na niko na dalili za ulcers lakibi je ndo nipate maumivu makali kiasi icho, dr alienda mbali akahusisha maumivu hayo na kuziba kwa mishipa ya damu au Angina lakini yote hayo sijajua nini shida.
Naomba kwa mwenye Utaalamu kuhusiana na magonjwa ya moyo au mapafu anipe mwanga nifanye nini nipime kipimo gani, au niende wapi ili nisolve tatizo kwani nimekuwa nalo yapata miaka 5 sasa.
Natanguliza shukrani.