Mfuko wa kende unashuka chini yaani pumbu zangu zinarefuka kwenda chini.
Nikikimbia au kutembea zinauma.
Kuna kipindi nilienda hospitalini Regency Hospital pale Upanga.
Specialist mmoja...
Umofia kwenu wanajukwaa
Ni ajabu na raha kuona mamlaka zimeacha kupambania watu wake katika msingi wa kila agenda ya maadui wa taifa.
Hususani adui maradhi, sasa hivi UKIMWI ama HIV watu...
Wakuu mmeshindaje poleni na majukumu ya kila siku,pia hongereni kwa kumaliza week,binafs nipo MOSHI PAZURI napunguza stress japo haziishi,
Naomba niende kwenye point yangu,hivi huwa mnatumia njia...
poleni na shughuli wandugu. naulizia specialist wa maswala tajwa hapo juu ambaye ana clinic yake au ambaye anafanya hospitali na pia ana fanya kwenye clinic. natanguliza shukrani.
Kitaalamu mama aliyejifungua hushauriwa kusubiri mpaka wiki sita (baada ya kuanza kliniki- postnatal clinic) ndio aweze tena kufanya tendo la ndoa. Kipindi cha kupona baada ya kujifungua hutegemea...
Habari zenu Ndugu zangu!
Muda huu asubuhi, nilikuwa nafanya shughuli za kuwasha jiko kwa ajili ya kutenga mboga (maharage)
Sasa nilipomaliza ikabidi niingie ndani, wakati naingia ndani tu, kufika...
HATUA ZA UKUAJI WA MTOTO AKIWA TUMBONI
Je wewe ni mjamzito na unatamani kufahama Hatua ya ukuaji wa mtoto wako aliyeko tumboni ??
Hizi ndio Hatua za ukuaji wa mwanao akiwa tumboni.
Hatua za...
Huyu kaka nashindwa kuelewa km ni malaika au ni binadamu wa kawaida!
sikumbuki ilikuaje kukutana pm!
kama kawaida ya wanawake kujiachia shida zao nikamwambia ninasumbuliwa sana na pumu.
Nilikua...
Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake wa jijini Dar es Salaam, Godfrey Chale amewashauri wanawake wanaotumia vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 kuacha kufanya hivyo ili kuepuka madhara...
Leo nimesafiri kwenda Lindi dah Nimeingia kwenye Lodge hiyo Nimewasha Feni tu Vumbi Lote likaniishia limeniletea Mafua Makali sana
Dah na Kesho Saa Mbili Na training Nawaza ntafundisha vipi na...
baadhi ya sababu za kuota ndevu wanawake ni hormonimbalance kama wasemavyo watu wengi.
sasa nauliza tu eti mahospitalini kuna dawa yoyote ya kusawazisha hili tatizo la hormonimbalance, kiukweli...
Wakuu habari za muda?
Ndugu zangu Nina tatizo ambalo linanipa mawazo sana .
Ni hivii Huwa Kuna muda nasikia mkojo umenibana Sana. Sasa naenda chooni ila nakojoa mkojo mdogo Sana... Alafu baada...
Habari zenu wakuu,
Kiufupi sina historia ya kuwa na matatizo ya masikio na wala sio mtumiaji/ mpenzi wa earphones. Mabadiliko katika masikio yangu nimeanza kuyaona ndani ya kipindi cha miezi...
Wakuu ni matumaini yangu mu bukheri wa afya kabsa;
Mwezi uliopita nilikuja hapa kwenye hili jamvi nikaeleza kuhusu shida ya mkojo iliokuwa inanikabili na wengi wenu mkanishauri niende hospital...
Umewahi kumuona bata akilala na kujiuliza jinsi anavyoliacha jicho moja wazi?
Bata, ni kama ndege wengine wengi, hulala nusu ya akili zao zikiwa macho huku nusu nyingine ikilala.
Usingizi wa...
Hospitali ya Chuo Kiku cha Aga Khan imesema imefanikisha upandikizaji wa kwanza wa uume katikakanda ya Afrika mashariki na kati .
Upasuaji huo maalum umefanyiwa kwa mwanaume katika umri wa miaka...
Nahisi nina testicle varicocele (mishipa ya korodani kuvimba) sija fanyiwa uchunguzi bado lakini kwa asilimia nyingi nahisi ndio hiyo. Nauliza hospital ipi nzuri kwa ajili ya kupima na matibabu...
Haya yamebainishwa na Daktari bingwa wa magonjwa ya mfumo wa fahamu na ubongo kwa watoto, Dkt. Edward Kija ambaye ameeleza kuwa wazazi au walezi wana mchango mkubwa sana wa kuwasaidia wagonjwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.