How to handle stress

How to handle stress

Corosive

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
1,459
Reaction score
2,959
Wakuu mmeshindaje poleni na majukumu ya kila siku,pia hongereni kwa kumaliza week,binafs nipo MOSHI PAZURI napunguza stress japo haziishi,

Naomba niende kwenye point yangu,hivi huwa mnatumia njia gani kupunguza stress,ziwe za mapenzi,kazi au kuyimba kiuchumi??

Nilijaribu kula bhangi lkn wapi,,nikajaribu kwenda ufukweni angalau mara 3 kwa week lkn bdo nakua nawaza,,

Pombe ndo mateso matupu maana nikishalewa kama umenikwaza au mahusiano yamenikwaza ndo naweza hata kuanza kulia mwenyewe,

Naombeni ushauri wenu wakuu,
 
usikae pekeyako sana

tafuta company ya watu wapya,

usile urabu kula story nyingi sana
hakikisha ukirudi nyumbani upo hoi na mastory ya company yako na ukifika nyumbani kula, uoge, ukojoe na ulale.
Hii yako naichukua kam ilivyo mkuu,ila naongezea na mazoezi kidogo ili kuuchosha mwili

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mnajidanganya sana mjue [emoji3][emoji3]

Kwamba mnazani wenye hela hawanaga stress?

Wanazo sana tu!
 
Naomba vifungu vya kutia moyo kaka

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Yohana 14:18

Sitawaacha ninyi yatima; naja kwenu.

Yoshua 1:5

Hapatakuwa mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe; sitakupungukia wala sitakuacha.

Isaya 41:10

Usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.

Zaburi 27:10

Baba yangu na mama yangu wameniacha, Bali Bwana atanikaribisha kwake.

Kumbukumbu La Torati 31:8

Naye Bwana, yeye ndiye atakayekutangulia, atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha; usiogope wala usifadhaike.

Zaburi 62:8

Enyi watu, mtumainini sikuzote, Ifunueni mioyo yenu mbele zake; Mungu ndiye kimbilio letu.

1 Yohana 4:13

Katika hili tunafahamu ya kuwa tunakaa ndani yake, naye ndani yetu, kwa kuwa ametushirikisha Roho wake.

Zaburi 94:17

Kama Bwana asingalikuwa msaada wangu, Nafsi yangu kwa upesi ingalikaa penye kimya.

Zaburi 145:18

Bwana yu karibu na wote wamwitao, Wote wamwitao kwa uaminifu.

Yeremia 29:11

Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
 
Ubarikiwe sana mtumishi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom