Poleni na majukumu ya kila siku wakuu.
Bila kupeteza muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna kitu kiko ndani yangu kati ya mgongoni na katikati ya kifua, kinanikula kila kila wakati...
Wakuu Salaam Kwenu nyote
Nina mtoto ana Miaka miwili na miezi kama minne siku za karibuni amekuwa na tatizo ambalo sijalielewa, Anakuwa na kiu sana usiku hasa majira ya saa tisa hadi 11 lazima...
Habari wapendwa?
Poleni na majukumu ya kila siku, Nilikuwa naomba kwa anayefahamu gharama ya kujifungua kwa opareshen hospital ya Ntuka dodoma na hospital ya Benjamini mkapa dodoma anijulishe...
Kwa jina jingine hujulikana kama (Tope tope) Nadhani ni kwa sababu ya umbile lake hasa likiwa limeiva huwa laini mfano wa tope.
Huenda sura yake ikawa mbaya kwa muonekano, lakini ni tunda lenye...
Mara kadhaa huwa naandika na kushauri juu ta tiba za mitishamba.Kwa maana ni jambo lililo damuni kwangu na ninapenda hata wengine wajifunze na waelewe.
Ajabu ni kuwa kuna wakati moderator...
Habari? Naombeni msaada nmeshikwa na mafua makali sana Mimi ni mjamzito, kabla ya kuwa mjamzito nilikuwa nikipatwa na mafua natumia hii dawa inaitwa Loratadine ni nzuri sana coz nilikuwa napona...
Habari wakuu nina tatizo la mwili kuchoma choma kuanzia kichwani mpaka maeneo ya kifuani pale ninapopata joto, tatizo hili nilishawahi kuwa nalo kabla nlipewaga ushauri na daktari ambaye siwezi...
Historia ya general anesthesia inaweza kuanzia kutoka kumbukumbu za historia ya mababu wa kale wa Samaria, Babylon, Siria, Egypt, Ugiriki, Roma, India, na China. Katika kipindi cha miaka ya kati...
Habari zenu wakuu.
Yeyote anaejua daktari wa magonjwa ya kina mama MBEYA na anapopatikana naomba msaada wa maelekezo. Nisaidieni mwenzenu, mwaka wa 3 kwenye ndoa nahangaika tu.
Sijabahatika...
Habarini wadau, naomba ushauri wa tiba au dawa kwa mtu aliye umwa ugonjwa wa Arthritis ( barid yabisi) kwasababu nateseka sana na huu ugonjwa na nisha tumia dawa nyingi. Na unaniumiza sana maeneo...
Hakuna kitu kingine kizuri kama mwili wa mwanamke kwakuwa unaweza kuleta kiumbe binadamu kingine.
Mwili wa mwanamke unazo ovari ambazo hutengeneza mayai na homoni maalumu ambazo hudhibiti mwili...
Na Mwandishi Maalum
Lakini, mtaalamu bingwa kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janabi, ana kidokezo kuhusiana na matumizi ya nadharia hiyo kiholela kwamba yanaweza...
Habari wakubwa heri ya mwaka mpya na imani mko poa.
Ebhana iko hivi kwa mama mjamzito mtoto anaanza kugeuka akiwa na miezi mingapi........?
Naombeni majibu mtoto wa miezi 6 anaweza akawa...
Hamjambo wakuu!
Kwanza kabisa ningependa mjue jinsia yangu ni mwanaume alafu pili poleni na majukumu yenu ya kila siku ya kulijenga taifa la tatu na la mwisho naomba nijielekeze moja kwa moja...
Habari, Mungu anatupenda sote
Jamani ni mfumo upi kwenye miili yetu sisi wanaadamu ambao ndiyo mfumo mama na ukichunguza kwa makini asilimia nyingi ndiyo magonjwa huanzia kwenye mfumo huo...
Hivi kuna data zozote kuhusu ugongwa wa Zika Tanzania? Ninakumbuka kuwa sababu kubwa iliopolekea hayati dr Mwele kuachishwa kazi Mhimbili ni kutangaza kuwa Tanzania ina wagongwa wenye virusi vya...
Naomba msaada wa kujua hospitali hapa Tanzania wanaojishungulisha na kutoa huduma ya kupima vinasaba.
Pia ningependa kujua haya yafuatayo,
- Utaratibu wa kufuata ili kufanya vipimo
- Gharama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.