Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,883
Habari zenu Ndugu zangu!
Muda huu asubuhi, nilikuwa nafanya shughuli za kuwasha jiko kwa ajili ya kutenga mboga (maharage)
Sasa nilipomaliza ikabidi niingie ndani, wakati naingia ndani tu, kufika mlangoni nikahisi kama kizunguzungu sio kizunguzungu ndoto sio ndoto, nikaanguka chini, na kufikia kichwa! Ndio nashituka.
Muda huu najiandaa kwenda hospital
Ila naomba kujua kutoka kwenu hii ni nini?