Mfuko wa kende unashuka chini yaani pumbu zangu zinarefuka kwenda chini.
Nikikimbia au kutembea zinauma.
Kuna kipindi nilienda hospitalini Regency Hospital pale Upanga.
Specialist mmoja akanambia niwe navaa chupi badala ya boxer nilifanya hivyo kwa muda hali ikatulia badae nikaacha kuvaa chupi kulingana na mazingira.
Nimekuja kwenu wataalam wa kada ya Afya mnisaidie hii kitu inaitwa nini na inasababishwa na nini?
Je kuna mbadala wa chupi kuhandle hii shida?
NB. Chupi za kiume nzuri ni zipi?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]