Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ndugu zanguni Habari zenu, Naombeni anaye jua jinsi ya kumaliza sumu inayonitesa ya dawa niliyotumia ya Maleria inaitwa Malafin.. yaan tangu nitumia zilipopita siku 7 tu.. baada ya hapo nimeanza...
4 Reactions
40 Replies
11K Views
Msaada wa kipimo mbadala, Wakuu habarini za wakati huu. Nimeenda Muhimbili wameniandikia kipimo cha OGD. Kwa ninavyosikia hiki kipimo maumivu yake ni hatari. Naombeni msaada kama huwa kuna...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri na kazi iendelee. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwa nilichokusudia. Yapata mwezi mmoja nimekuwa na tatizo linalonitatiza. Siwezi kwenda zaidi ya round...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
samahani, ngozi yangu inaukavu na kukunjamana huku kuna vipele vidogo dogo sana na vinawasha. Ushauri tafadhali
1 Reactions
1 Replies
2K Views
MISOPHONIA Hii ni neno la kitaalam likiwa na maana ile hali mtu anakasirika au anakerwa na vitu vidogo mfano mtu kutafuna kwa sautii , kupumua kwa sauti karibu na mtu, sauti ya mtu akisugua au...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wakuu tafadhali usika na kichwa cha habari hapo juu.. Naomba kujua ni msosi gani unatakiwa kula kabla ya show [emoji3061][emoji3061] na ni kwa muda gani unatakiwa kutumia kabla ujaanza?
5 Reactions
61 Replies
10K Views
Wana jamii naombeni msaada wenu nina tatizo la kukojoa mkojo wa njano sana kwa muda wa miaka mitatu sasa nimekwenda hospitali lakini inaonekana sina tatizo, naomba kujua dawa yake nn wana jamvi...
0 Reactions
24 Replies
25K Views
Wadau naomba kujuzwa juu ya chanzo cha mkojo kutoa harufu kali sana aka kunuka wa wakati wa tendo la kukokoa? Aidha naomba kufahamishwa endapo kuna athari zozote kiafya kutokana na hali hiyo yaani...
1 Reactions
10 Replies
15K Views
Wakuu habari za muda huu? wakuu naamini kuna wataalamu na watu wenye ufahamu juu ya tatizo langu naomba msaada wa ushauri. Hivi karibuni nilisumbuliwa na homa kali asubuhi na jioni kwa mda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habarini za wakati huu. Nimeenda Muhimbili wameniandikia kipimo cha OGD. Kwa ninavyosikia hiki kipimo maumivu yake ni hatari. Naombeni msaada kama huwa kuna mbadala wake. Shida yangu kubwa...
0 Reactions
2 Replies
43K Views
"Nikifanya kazi moyo unaendaaa mbio nikiinamaa sana nikisimama sana pia nikitembeaa sana au nikipata mshtukoo tu basi unaanza kwenda mbio pia nikiwa na mawazo." Ushauri wa kitaalam unahitajika...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Tunapoumwa ni vema kwenda Hospitali au zahanati ili kupima vipimo kwa lengo la kubaini ugonjwa unaosumbua. Hili ni jambo jema kwani haishauriwi kukimbilia kwenye maduka ya madawa kununua dawa...
14 Reactions
558 Replies
112K Views
Zijue dalili hizi zinazoonyeshwa na kucha..... Kucha zikiwa na vidoti vyeupe inaonyesha mtu ana upungufu wa vitamins au reaction ya allergy Kucha ikiwa na mstari/mistari mweusi inaweza ikawa...
1 Reactions
9 Replies
19K Views
Mimi ninashda moja,nikitaka kupiga miayo Napata shida sana, na uwo ugojwa wanaita chembe,mwenye kujua dawa, anisaidie,asante.
0 Reactions
3 Replies
723 Views
Habari JF members Naomba nifahamishwe hospitali nzuri ya mifupa hapa Dar es Salaam either private au govt. Natanguliza shukran.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu Wiki mbili baada ya kupata dozi ya kwanza ya chanjo nlianza kupata vipele vidogo kama vijipu ambavyo vimeiva na vinatokea maeneo ya mapaja na miguu pia nimeanza kuhisi tatizo la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inasemekana watu wenye damu ya group O immunity yao ni kali kiasi cha kwamba inasababisha uwezekano wa kupata mtoto uwe mdogo. Hata magonjwa madogo madogo huwa ya malizwa kiaina. Hii ni kweli?
1 Reactions
99 Replies
53K Views
Ni vyakula gani au kitu gan nifanye ili kuimarisha Kinga ya mwili iliyodhofika?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama unamfahamu mzee yoyote mwenye tatizo la kushindwa kukojoa mkojo (urine) au mkojo hautoki kwa usahihi naomba niunganishe naye tiba yeetu ni bure.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana Jf habari za kazi na mihangaiko ya hapa na pale, Nilikuwa napenda kufahamu sababu zinazopelekea baadhi ya watoto wakachelewa kutambaa au wakawahi kutambaa katika kipindi cha ndani ya mwaka...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Back
Top Bottom