Mzungwa au mzugwa?
Kuna bwana mmoja kibamba anao wa kutosha lakin analima kuuza.
Bei gani anauza?
Anasema mfuko ule wa 300 anataka 15 elf. Nakushaur baadae upande kwny mazingira yako km maua dawa. ni rahisBei gani anauza?
😆😆😆 ushakula kichwaNicheki Pm.
Njoo uchukueWengine huita Mzugwa lakini ndio huo naotafuta mimi
Mmmh uyo kiboko. Mbona Mimi Maza angu anatoa bure tu. Na wasambaa ndo balaa, Kila siku wanakuja kuomba.Anasema mfuko ule wa 300 anataka 15 elf. Nakushaur baadae upande kwny mazingira yako km maua dawa. ni rahis
Njoo uchukue
Nyumbani upo ila mkoani, km unaye ndugu Moro nimwelekeze knyumbani akachukue bure
Sasa nenda mwenyewe km unaweza utapokelewa tuu na Mama yangu.Sina ndugu huko
Dada nifate pm, mambo mengine ni private eti.Unapatikana maeneo gani mpendwa