Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 376
Je, unaweza kutumia dawa za presha halafu ukikaa sawa ukaacha kutumia hizo dawa au ndio unatakiwa utumie maisha yako yote, hata kama kipindi ambacho umekaa sawa
Unatumia maisha yako yote, mimi natumia sasa mwaka wa 30Je unaweza kutumia dawa za presha hlf ukikaaa sawa ukaacha kutumia hizo dawa au ndio unatakiwa utumie maisha yako yote ata kama kipindi ambacho umekaa sawa
Pole. Jaribu kutibu chanzo kwanza maana kumeza dawa za kutuliza haitasaidiaJe unaweza kutumia dawa za presha halafu ukikaa sawa ukaacha kutumia hizo dawa au ndio unatakiwa utumie maisha yako yote, hata kama kipindi ambacho umekaa sawa