Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Salaam ndugu zangu. Nimekuwa kwa muda nikihudhuria clinic moja mitaa ya Sinza kwa remy kwa ugonjwa wa kuwashwa ngozi, sasa kila nikienda napewa dawa tofauti kama aina saba hivi, but ukiangalia...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ugonjwa mpya unaofanana na UKIMWI, wenye kuua kwa haraka umeikumba china. Ugonjwa huo husambazwa na majimaji ya mwilini. Wachimba chumvi, wazee wa madenda na madekio kazi kwenu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni post yangu ya kwanza na naanza na tatizo! Nina ndugu yangu ninayemsaidia (dependant) amepata ugonjwa wa kutokwa usaha (well ni maji mazito ya rangi ya njano, yananata kiasi) kwenye masikio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada kuna ndugu yangu tumbo lina muuma muda wote ameenda hosp. baada ya kumpima wamegundua kuwa INI lake ni kubwa isivyo kawaida, amepatiwa dawa lakini bado maumivu yanaendelea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiti cha ofisini kimekuwa kikiniumiza mgongo. Nimebadilisha viti vitano lakini bado naumia. Je nikae pozi gani ili nisiumize mgongo?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
About high cholesterol About two in three adults have a cholesterol level that is higher than recommended. Having high cholesterol affects your heart and blood vessels and increases your...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gel cuts HIV transmission rate in study By Saundra Young, CNN July 19, 2010 5:39 p.m. EDT A gel that contains the antiretroviral drug is able to keep HIV from multiplying. STORY HIGHLIGHTS...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Play Video AFP – We will have AIDS vaccine: NIH's Fauci...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii dawa ya ukimwi iliyogunduliwa Marekani na kupata support ya Prof. waziri wa Afya Tanzania, kwangu mimi naiona ni hatari sana. Dawa hii haitibu yaani haiondoi virus wa ukimwi badala yake...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Wakuu tuoshe nguo zetu za ndani tukitoka kuzinunua. Hebu someni kisa hiki, kinahuzunisha. Sadly,a life changing event was about to unfold during her appointment. To Miss McKinley's surprise...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni swali la ajabu lakini lenye kuhitaji umakini kulijibu. Mimi si daktari lakini kwa uelewa wangu juu ya UKIMWI ni Ukosefu/Upungufu wa Kinga Mwilini hivyo mtu hawezi kufa kwa Ukosefu wa Kinga...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu Nawaombeni kama kuna Mtu anajuwa Dawa ya kutibu (Uti) wa Mgongo (Spinal Stenosis) anisaidie jamani. Matatizo hayo yaliniwahi kunitokea Mwaka 2004 nikaenda Hospitali kufanyiwa Check ya...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Naomba msaada wa jinsi ya kutibu miguu inayopasuka wengine wanaita machacha, wengine wanaita makegete. Please
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Monday, 12 July 2010 Bendera ya Marekani nchi ambayo wanasayansi wake wanadaiwa kuwa wamegundua dawa ya Ukimwi Leon Bahati WANASAYANSI nchini Marekani wamegundua chembechembe za kinga ambazo...
0 Reactions
55 Replies
15K Views
HABARI Naomba isaidiwe familia hii njia nyepesi ya kufanya DNA TEST maana walipokwenda kwa mkemia mkuu wakaambiwa wapeleke barua toka mahakamani au ustawi wa jamii na walipoenda huko wakasema...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Siku moja nilinunua vijiti vya kusafishia masikio na nikawa nampa mshikaji mmoja yeye akanambia ameacha kusafisha ute/utomvu unaokuwemo kwenye masikio baada ya kumsikia Daktari mmoja akieleza...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
July 9th, 2010 11:49 AM ET HIV antibody discovery a step toward vaccine After years of disappointment, researchers have finally found a potential basis for an HIV vaccine. Scientists at the...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wednesday, April 14, 2010 9:03 PM Msichana mmoja wa nchini Croatia amewashangaza watu wengi baada ya kuzinduka toka kwenye koma baada ya kupoteza fahamu kwa masaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa tusaidiane kidogo mbona madada wengi wamejaliwa hizi sehemu lakini ukija kwa wanaume kweli wengi wamepata bahati mbaya ya kuwa bapa ama mbinuko kabisa swali langu ni utengenezaji kwenye...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
The nose has a left and a right side; we use both to inhale and exhale. Actually they are different; you would be able to feel the difference. The right side represents the sun, left...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom