Tatizo kubwa la ukosefu wa ARVs na reagents za kupimia wagonjwa wa UKIMWI: Kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo kubwa la ukosefu wa ARVs na reagents za kupimia wagonjwa wa UKIMWI: Kulikoni?

Discussion in 'JF Doctor' started by kanyagio, Sep 15, 2010.

 1. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  taarifa za uhakika kutoka ndani ya Medical Store Department (MSD), wataalamu wa madawa (wafamasia wa mikoa, wilaya na hospitali) pamoja wale wa maabara inabainisha ukosefu mkubwa wa dawa mbalimbali za ARVs (za kurefusha maisha kwa wagonjwa wa UKIMWI) mfano atripla, nevirapine, pamoja na reagents za kupimia HIV na CD4. mfano ni mikoa ya kanda ya ziwa ikiwemo Mwanza na Mara, Kagera... ruvuma, Lindi, mtwara, Morogoro
  maswali:

  1. Je wizara ya afya imeenda likizo sababu ya uchaguzi
  2. Je fedha za kununulia vitu hivyo imepelekwa uchaguzini?
  3. Je tunakubali ndugu zetu wateseke kwa ajili ya uzembe wa wachache?
  Mwisho naomba taasisi inayosimamia masuala ya ukimwi (nadhani NACP na TACAIDS) pamoja Stoo ya kitaifa ya madawa (MSD) na vitengo vingine vya Wizara ya Afya vichukue hatua.. Katibu mkuu wizara ya afya yupo au na yeye yupo kwenye kampeni? Wakurenzi wizara ya afya mpo au na nyie mnagombea ubunge? Jamani tuokoeni....

  tujadili
   
 2. M

  Mzee2000 JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 491
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Kanyagio,

  Je hii haitokani na serikari ya marekani kupunguza misaada ya hizo ARVs? Nasikia tangia Obama aingie serikari ya marekani imepunguza misaada ya hizo dawa hasa afrika,kwa sababu ilielekea ukimwi unachukua resources nyingi huku magonjwa mengine yanayoua zaidi yanasaulika.
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Tatizo linaweza kuwa sera za obama1
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Na abama wenu (mwana wa mrisho) ana mikakati gani? kwa nini asitread dhahabu kwa hizo dawa?
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu usirahisishe mambo hivyo kwani utafanya wanahusika kutokua sirias

  Tatizo si pesa, bali tatizo ni watu... na kuna habari zinasema kwamba kuna dawa zilichakachuliwa

  naskia hata yale madawa yaliyooza yanatumika na wafanyakazi wa msd kuiba dawa, wanareplace na dawa nzuri kutuzuga, mkuu wao kalala fofofo anafuatilia mademu, na wameunda genge baya sana la kuhuju wagonjwa wa ukimwi
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  anamalizia kampeni atafanya kazi yake... inabidi tuhimize wahusika wafanye kazi yao
   
Loading...