Madawa ya kuongeza maumbile...Kuna ukweli au kama kutafuta rupia za mjeremani???

bahati123

New Member
Aug 6, 2009
3
0
Hivi haya mabango ninayoyaona mabarabarani na hawa wanaouza wana TBS kweli? Je waliowahi kutumia wanawezaje kunielezea faida na madhara yake..? Wote wakike na kiume nataka mawazo yao...:violin:
 
kwa kweli hata mimi nilikua siamini,nilidhani ni porojo tu lkn kuna siku nilipishana na dada mmoja,alinifanya nianze kuamini kuwa yapo,huyo dada alikuwa 3 ya 4 ya maziwa yake yalikuwa wazi lkn yalikuwa ktk form ya ajabu kabisa yaani yalikuwa yametisha/dawa zilikosea utendaji wake lkn alionekana kuona fahari kuyabana na kuyaonesha kozi yalikuwa makubwa.
 
Hii kitu huwa nashindwa kuelewa kama ni kweli au lah kwa kuwa i have never come across someone akaniambia kuwa ameishawahi kutumia inawezekana wapo wanaotumia kwa kuficha hawataki kujulikana na watu kwa kuwa wanajua watanyoshewa vidole ila kama alivyosema cheusimangala kuna ambao unakutana nao barabarani maumbile yao yanakuwa sio ya kawaida mara huku kubwa mara kule dogo then hapo ndio unaanza kudoubt
 
una hatari wewe handsome,donti trai thisi ati homu,je kidole kikiwa kikubwa kuliko mguu utasemaje?

Yanafanya kazi kweli, mengi huwa yana steroid, but at the end unaweza pata cancer, kama unataka kuongeza ukubwa wa maumbile yako kuna mazoezi maalum yanayoweza kukupatie unachohitaji bila kuwa na S/E!
Madawa yote ni sumu, kwa hiyo avoid at all cost
Ofcouse hutapata mtu atakae admit kutumia kwani utamuona ana umbo feki, kwa hiyo utetegemee honest jibu kutoka kwa yeyote.
Hata mimi ningekuwa nimeshawahi tumia nisinge admit!
 
Hii kitu huwa nashindwa kuelewa kama ni kweli au lah kwa kuwa i have never come across someone akaniambia kuwa ameishawahi kutumia inawezekana wapo wanaotumia kwa kuficha hawataki kujulikana na watu kwa kuwa wanajua watanyoshewa vidole ila kama alivyosema cheusimangala kuna ambao unakutana nao barabarani maumbile yao yanakuwa sio ya kawaida mara huku kubwa mara kule dogo then hapo ndio unaanza kudoubt

Rafiki yangu nilikuwa nikiishi naye wakati fukani alikuja nyumbani amebebba kichubu flani akaniambia alikutana na jamaa njiani anauza akamweleza kuwa inaongeza uume jamaa akainunua na kuituma lakini hakupata mabadiliko yoyote
 
kweli hazina lolote ila ni wa2 wamejiwekea mazoea tu na kuziaminisha brain zao kuwa zina efffect coz kuna jamaa wengine hawawez kukutana na mdeme bila ya kutumia
 
Cheusi, ulifikilia nini kuweka hiyo avatar? unaniharibia concentration!

taratibu mkuu, utamzoea tu dada Cheusi wala hana matatizo, siku za mwanzo hata sisi tulikuwa kama wewe na maswali mengi aliulizwa na akayajibu kwa upole na ustaarabu tu, UTAZOEA MKUU, NA HUUYO NI YEYE HALISI WALA SIO HIZO DAWA ZENU ZA KUONGEZA MAMBO
 
mim mpaka leo bado sijamzoea...................!tehetehe...................!sijui itanichukua muda gani kumzoea.............!
 
Hivi haya mabango ninayoyaona mabarabarani na hawa wanaouza wana TBS kweli? Je waliowahi kutumia wanawezaje kunielezea faida na madhara yake..? Wote wakike na kiume nataka mawazo yao...:violin:
Dawa za kuongeza (Madawa ya kuongeza maumbile) Wewe kama kweli unataka jaribu kuwatafuta Wamasai kama upo DAR, la kama haupo DAR upo sehemu nyingine kama Tanga nenda kwa Waganga wa Kisambaa watakupa hizo Dawa za Kienyeji za kuongeza ( Madawa ya kuongeza maumbile) Watakusaidia sana usitumie Dawa za Kichina Tafadhali.
 
Back
Top Bottom