Hiv ,blood group & sicle cell

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,635
4,519
Wataalam wa tiba na wanazuoni wengine.

Je, kuna ukweli wowote kuwa mtu mwenye blood group O+ au B- na akiwa na ule ugonjwa wa upungufu wa damu(SICKLE CELL)au hata genes za ugonjwa huo (SICLE CELL) hawezi kupata HIV hata kama akiongezewa damu yenye virus wa UKIMWI?.

Na nimesikia tetesi kuwa virus hawawezi kuishi kwenye mwili wa mtu huyo. Ni kweli ndugu zangu au ni urban legends tu zenye lengo la kupotosha watu
 
Ukweli ni kwamba hakuna ugonjwa utakaoweza kuua vizazi vyote kwani miili ya viumbe inatofautiana kwa mfano
hata watu wote mkiumwa na mbu wenye kuambukiza malaria si wote mtaugua malaria, hivyo hivyo kwa ukimwi si wote wakiambukizwa HIV watapata
UKIMWI umeelewa? Haijathibitishwa kuwa watu wenye aina fulani ya damu ndo hawatapata ukimwi au sikla hawatapata ukimwi
Virusi vina ishi kwenye seli anuai,zaidi nyeupe za damu, sikla wanahitilafu ya seli nyekundu kwa hiyo chansi ya kuugua iko pale pale labda kama wana
kinga ya mfano nliotoa kuhusu malaria
 
Back
Top Bottom