HIV-new case

Katabazi

JF-Expert Member
Feb 18, 2007
353
19
Wana JF naomba kujua wapi(kama mgonjwa anaishi Mwenge,DSM,TZ) anaweza kupata ushauri wa mwanzo kuhusu cha kufanya all the basics hata kama ni hapa jukwaani, kwa mtu ambaye matokeo kuwa ni HIV positive mapema, mojawapo ya vitu ninavyotaka kujua niwapi wanatoa msaada wa mawazo i.e like vyakula gani,jinsi ya kuishi au hata kama kuna habari yoyote ya muhimu kwa mgonjwa ambaye ndio kwanza amepimwa na kujigundua .

Asante.
 
Mwenge sijui, ila kama upo tayari kwenda nje ya Mwenge, naifahamu sehemu fulani kule Mwananyamala ila haina usiri sana, if you need more private is not good place, if you need to know the place let me know
 
hapo alipopima watamuambia kila kitu, ila hospitali zote, zina clinics. ni vizuri apime CD4 haraka kwanza, wengi wanachelewa hapo na kijikuta wanateseka na ugonjwa mdogo tu.

Privacy inakuwa kwa wakati wa kuhudumiwa tu, ila karibu kila mahali kuna foleni ya kutosha
 
Nenda PASADA pale kanisa katoliki chang'ombe opposite chang'ombe polisi. Is the best place kwa hapa dar hata Angaza wakikupima ukaonekana umeathirika wanakushauri uende huko.
 
muhimbili wanakitengo,wanaangaliwa vizuri sana na dawa bure,unapimwa hizo cd4 kila baada ya mwezi sikumbuki vizuri,ila cliniki yao bomba sana wanasaidia mno kiushauri na dawa za hapa na pale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom