Jasho kwapani

ASIKARI

Member
Oct 17, 2012
92
19
kwanza nasema asanteni sana wataalam wote kwa kutupa tiba bure humu jf.
ndugu zangu mi nina tatizo la KUTOKWA NA JASHO SANA KWAPANI, hali hii inaninyima raha sana. Mwanzo nilikua natoa harufu ya jasho nikashauriwa nitumie DEODORANT, harufu ikakata ila jasho bado..Msaada wenu tafadhari katika hili.
 
Tafuta deodorant iliyoandikw anti perspirant ndo itakusaidia. Ikiwa haina alcohol itakuwa poa zaidi.
 
Back
Top Bottom