Je Kuna Njia Mbadala Jinsi Ya kufahamu Paternity Ya Mtoto Bila kutumia Vipimo Vya DNA?

patience96

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
1,353
568
Salaam wana JF.

Ningependa kujua, ni njia zipi naweza tumia, (bila DNA Test) ili nithibitishe kuwa mtoto ni damu yangu halisi.
Mwenye kufahamu hili anijuze.

Asante.
 
Salaam wana JF.

Ningependa kujua, ni njia zipi naweza tumia, (bila DNA Test) ili nithibitishe kuwa mtoto ni damu yangu halisi.
Mwenye kufahamu hili anijuze.

Asante.

Njia ya uhakika about 100% ni DNA.

Hizi njia nyingine mmh! Jaribu Blood type calculator; au angalia; Physical traits kama eye color, types of earlobes n.k.

 
Mashaka.ya nini? Labda kama wewe ni mwanamke
unataka kuhakiki baba wa mtoto ili umbane matumizi. Otherwise kama wewe mwanaume, jua kitanda hakizai haramu. Furahia uumbaji.
 
kama afanani hata kidogo kati yenu hapo imekula kwako,fanya uchunguzi wanawake wana siri nyingi.
jikaze utalea mtoto sio wako.komaa na utafiti
 
hivi kama kwa mfano mzazi hayupo inawezekana kupima DNA, na watoto waliopo kujua kama ni nduguzo wa baba na mama inclusively?
 
Back
Top Bottom