Ujauzito wa kupandikizwa

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,959
2,938
wakuu habari zenu,
Niliwahi kusikia kuwa kuna mimba za kupandikizwa(mimba za chupa)
kama kuna anaefahamu hospitali yoyote hapa nchini kuna teknolojia hiyo tafadhali mnijuze.
Natanguliza shukrani.
 
Kwa hapa nchini sikushauri. Hamna facility ya kustore ovi wala sperms kwenye bank. Hata kama utahitaji invitro fertilisation standard ya kusterelise hizo intruments ni ndogo sana hata kwenye best Hospitals. Kama uno uwezo bora uende Malaysia. It is very cheap. Only about 3,000$us pamoja na hospitalisation. Sauzi wanafanya lakini bei juu.
 
Asante mkuu.
 
Asante sana mkuu
 
Ni PM for more info.
 
kuna hosp. imeanzizwa hapa Tanzania ya IVF na mambo ya uzazi yanayoshindikana kufanyika kwenye hosp. nyingine(sababu ya kukosekana kwa vyombo/mitambo). Iko mikocheni njia ya coca cola Plot no. 47 opposite na ofisi za clouds Fm. Nenda ni Dr. mzuri ameshasaidia wengi .Hapo mwanzo nilikuwa namfuata Uganda nimepata wanangu kwa kupandikiza. Kupandikiza ni dola 6,5000. All th e best, najua inavyoumiza ila utafanikiwa.
 
Nashukuruvsn jamani!! Iyo hapo bei ni shilingi ngapi ni dolla 6,5000 sijaelewa!!
 
Currently wanasema gharama ya process nzima ni around 8,000$. Iko opposite na clouds radio station mikocheni. Ulizia huwezi potea.
Kila la kheri, Mungu atangulie.
Naweza pata jina lake au jina la hostak iyo au any comm.
 
Back
Top Bottom