Ivi condom zinazuia ukimwi kweli

Babb-Babbjrtz

Member
Feb 13, 2012
57
7
Wadau ivi tupeane ukweli kama kutumia Condom kunazuia ukimwi kweli, mi kuna wakati kwenye vile vimeo visivyoeleweka huwa natumia hata condom 2, ivi inaweza kusaidia kweli au hawa jamaa wanatudanganya tu, na inakuwa kuhusu hizi condom feki!!!
 
plz usijaribu kutumia condom zinaua, wewe uwe unaenda nyama kwa nyama, mwendo mdundo tu! kwani unahitaji kufika 45yrs wewe?
 
2tapotoshana hata lini....
Kondom zinauwezo wa kukukinga dhidi ya virusi vya ukimwi kwa asilimia mingi ukitumiwa ipasavyo...
 
Wadau ivi tupeane ukweli kama kutumia Condom kunazuia ukimwi kweli, mi kuna wakati kwenye vile vimeo visivyoeleweka huwa natumia hata condom 2, ivi inaweza kusaidia kweli au hawa jamaa wanatudanganya tu, na inakuwa kuhusu hizi condom feki!!!

Acha uzinzi kijana, ikimbie tamaa!
 
Wadau ivi tupeane ukweli kama kutumia Condom kunazuia ukimwi kweli, mi kuna wakati kwenye vile vimeo visivyoeleweka huwa natumia hata condom 2, ivi inaweza kusaidia kweli au hawa jamaa wanatudanganya tu, na inakuwa kuhusu hizi condom feki!!!

Hazizuii bali zinakinga.....!
 
Zinakinga kwa wastani wa asilimia 70, Unajua kwa nini?
1.in any mass production huwa kuna allowed percentage ya defects, 2%
2. Utunzaji/uhifadhi mbaya wa condoms husababisha ziwe hafifu, 5%
3. Utumiaji mbaya kwa mfano kuivaa lakini ikaruhusu majimaji toka ukeni yakaingia kwa juu, 3% (hasa kwa ile sataili ya akina iiwe..! (kater....)
4. Kupasuka kwa condom, 5%, kwa wale wa tigo hii yaweza kufikia 10%
5. zinginezo 2%
6. condom feki hasa kwa nchi corrupt kama TZ, 10%
Tafsiri yake ni kwamba, kila unapojamiiana kwa kutumia condom mara 10, then mara 3 kati ya hizo huna uhakika wa full protection!
 
Condom zinazuia ukimwi zikitumika ipasavyo.Unapovaa condom mbili unajiweka kwenye hatari ya kupata maambukizi kwa sababu wakati wa tendo zenyewe zinakuwa zinajisugua ambapo kupasuka ni rahisi zaidi,tumia condom moja kwa kila tendo
 
zinakinga kwa wastani wa asilimia 70, unajua kwa nini?
1.in any mass production huwa kuna allowed percentage ya defects, 2%
2. Utunzaji/uhifadhi mbaya wa condoms husababisha ziwe hafifu, 5%
3. Utumiaji mbaya kwa mfano kuivaa lakini ikaruhusu majimaji toka ukeni yakaingia kwa juu, 3% (hasa kwa ile sataili ya akina iiwe..! (kater....)
4. Kupasuka kwa condom, 5%, kwa wale wa tigo hii yaweza kufikia 10%
5. Zinginezo 2%
6. Condom feki hasa kwa nchi corrupt kama tz, 10%
tafsiri yake ni kwamba, kila unapojamiiana kwa kutumia condom mara 10, then mara 3 kati ya hizo huna uhakika wa full protection!

afadhali wewe mkuu umejibu ipasavyo!
 
2tapotoshana hata lini....
Kondom zinauwezo wa kukukinga dhidi ya virusi vya ukimwi kwa asilimia mingi ukitumiwa ipasavyo...
lakini inapasa kuwa makini wakati mwingine zinapasuka.halafu hatari nyingine ni kwamba wakati flani mwanamke anatloa majamaji yanayoweza kutiririka pembeni pembeni ya condom na kukugusa sehemu mbalimbali za mwili wako
 
Wadau ivi tupeane ukweli kama kutumia Condom kunazuia ukimwi kweli, mi kuna wakati kwenye vile vimeo visivyoeleweka huwa natumia hata condom 2, ivi inaweza kusaidia kweli au hawa jamaa wanatudanganya tu, na inakuwa kuhusu hizi condom feki!!!

Kondomu haizuwii UKIMWI. Hata Nyerere alikufa kwa Ukosefu wa Kinga Mwilini, jee, ulisababisha na kutumia au kuto-kutumia kondomu?
 
Nimeaminishwa kwamba,Kondomu haizui ukimwi kwa 100%.Nakumbuka sana,mwalimu wangu wa kemia alituonesha wazi Uwezo wa Kondomu mmoja kuweka lita ishirini za maji tukiwa maabara ! Pia,tuliona ilipoanza kuwekwa maji kiasi kidogo yalianza kuvuja !Tokea hapo,nikaanza kutilia mashaka kondomu tangu miaka 1980;na nikichanganya ushauri wa wataalumu wa afya marafiki zangu kuwa kondomu si kinga ya ukimwi 100%;niliapa kutotumia kondomu mpaka kufa kwangu ! Tujiulize kwamba kondom ni suala la kisiasa au kibiashara zaidi ? Maombi ya Mchungaji Kakobe yalinipa uwezo wa kutotumia kondom kwa zaidi ya miaka 20 sasa !!!Kinga ya ukimwi ni kuacha zinaa;na kama hauwezi kuishinda zinaa,kimbilia maombezi kama aimbavyo Mwaitege.
 
Back
Top Bottom