Natalia nisaidieni kaka zangu wana jamii mwanangu wangu nimtahiri au ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natalia nisaidieni kaka zangu wana jamii mwanangu wangu nimtahiri au ?

Discussion in 'JF Doctor' started by Natalia, Oct 19, 2012.

 1. N

  Natalia JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Seriously yaani madaktari wa Huku wananiambia it's my choice . Please nisaidieni .mume wangu ananiambia Niamue mimi mwanangu anamiaka 2 .alivyozaliwa nilikataa asifanyiwe circumcision niliogopa infection na maumivu.sina raha ushauri Wenu utanisaidia
   
 2. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Fuata kama baba yetu Ibrahim alivyoelekezwa na Mungu. Si hivyo tu hata ving'asti siku hizi hawapendi magovi!
  Mimi nakushauri hivo dada yangu.
   
 3. z

  zodiac Senior Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani kumbe una mtoto na ulivyo empty headed utakuwa umepata mburula aisee!

  Mtajijua ukitaka mwache na mkono wa sweta ukitaka mkate na panga its up to you!

  Au chukua itafune!
   
 4. amu

  amu JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  umenichekesha hadi basi
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mtoto awe kama baba yake
  baba yake si hajatahiriwa?
  why umlazimishe mtoto?
   
 6. N

  Natalia JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mungu kanijalia watoto watatu .wa kwanza Ana miaka 12 na wapili 7 na wa Mwisho my baby boy
   
 7. amu

  amu JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Utajisikiaje pale atakapopewa jina la staring wa kihindi a.k.a govinda???????
  Swali baba yake katahiriwa??
  Kama babake katahiriwa na yeye mtahiri kama hajatahiriwa usimtahiri
   
 8. amu

  amu JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  kulikoni mpaka mda huu hujalala????
   
 9. N

  Natalia JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mume wangu katahiriwa.ila dr aliniambia nisubiri aamue mwenyewe.ata Dini nasubiri waamue wenyewe.
   
 10. N

  Natalia JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Saa hizi saa kumi na mbili na Dakika 45 .
   
 11. z

  zodiac Senior Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wa kwanza ulizaa ukiwa haki elimu! Yani una mamburula matatu!!! Kiruu, huyo ze mumeo ameongeza mang'aa kwenye ukoo wake!

  Utajibeba na lundo la watoto kila mmoja na babake! Mkate na sime la kimasai awe na rungu ya kimasai.
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wewe mbona hujalala?
  halafu unajuaje nipo nchi ipi?
  ratiba zangu?
   
 13. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Sasa mpaka aje aamue mwenyewe si tayari ameshakua staring wa kihindi huyo.....
   
 14. z

  zodiac Senior Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baba tajiri kumbe ana mkono wa sweta! Uuuuuughhh!!!! No wonder he cooks for you and bring da food to the bed while umelaza mbunye tu iliyofotoa ma-kid mburula watatu tena mikono ya sweta!

  Swali la kizushi, hivbi kwa hiyo huwa unapuliza kama pulizo ile mkono wa sweta? Just to share the gossip my dada tajiri.
   
 15. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Nahisi hii BAN unayoitafuta ni ile ya kurudi na Id nyingine.
  >>back to the topic.
  kuna sababu nyingi za kiafya zinazokulazimisha ufanye tohara kuliko hizo zako za maumivu na infection
   
 16. N

  Natalia JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Maumivu naogopa mwanangu jamani.
   
 17. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Maamuzi ya mtoto ni muhimu. Nimeona hapa Europe ndo trend. Mtoto aamue mwenyewe kama anatahiri au la. Infection kutokana na kutahiri ni unlikely kama huduma za kihospitali ziko ok. Sioni tatizo kufanya sasa au mbeleni ikiwa mtoto hatakuwa na tatizo la phimosis.
   
 18. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Zodiac vs Natalia
  i need some popcorn for this .
   
 19. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwanini unakosa raha
   
 20. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  hawa wazungu nao wamezidi kujifanya na haki za binadamu, anyway maoni ni hayo, unaweza kuwa kama
  mbaiwau
   
Loading...