kitovu kuuma

korino

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,004
659
habari zenu wanajamii..nina ujauzito wa miezi saba sasa,tatizo nililonalo kwasasa ni kuumwa kwa kitovu! kitovu huwa kinauma mara kwa mara! sio maumivu makali sana na hayachukui mda mrefu yanaisha! nlijaribu kwenda hosp kumweleza dr.akanipa dawa lkn cjaona mabadiliko! huwa kinauma mara nyingi pale ambapo ntatembeatembea(sio sana) ama kufanya shuhuli zangu za nyumbani! huu ni ujauzito wangu wa kwanza!naogopa sasa hata kufagia rum kwangu naogopa kupika naogopa kufanya kazi yyote ile! naombeni ushauri wenu doctors na jee ni kwann kinauma na dawa yake ni nn?natanguliza shukran
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom