Tendo la ndoa

MMOJA

JF-Expert Member
Aug 30, 2012
445
259
Wana JF naomba kuuliza,hivi kuna madhara yoyote mwanaume anaweza kuyapata akikaa mda mrefu bila kufanya tendo la ndoa(kama miaka miwili hivi)?
 
Hakuna tatizo lolote lile kiafya ila usifanye ile kitu nyingine, ile ina madhara.
 
madhara yapo bwana...unakuwa na stress flani na pia unapungukiwa happiness kwenye maisha yako
 
Yah, madhara yapo kama kuwa zoba na stress nyingi ile kinoma. Mi siwezi kaa mwezi mmoja bila kufanya tendo la ndoa. Ingia kwenye google andika Advantages of sex uone mambo.
 
Kwa sababu yeyote ile utakuwa na matatizo ya kisaikolojia ambayo utayaona kama madogo lakini
ni makubwa kwani hata uwezo wa kufikiri na utendaji wa kazi unapungua, labda iwe hujawahi kufanya
mapenzi tangia uzaliwe, hiyo haina shida, ila ukishaonja nanihii aisee......
 
Yah, madhara yapo kama kuwa zoba na stress nyingi ile kinoma. Mi siwezi kaa mwezi mmoja bila kufanya tendo la ndoa. Ingia kwenye google andika Advantages of sex uone mambo.

Inaonekana wewe unajua jua kidogo, naomba nisaidie hili "Tofauti ya Tendo la ndoa na Tukio la ndoa"
 
Wana JF naomba kuuliza,hivi kuna madhara yoyote mwanaume anaweza kuyapata akikaa mda mrefu bila kufanya tendo la ndoa(kama miaka miwili hivi)?

Tendo la ndoa ni kwa walioo na kuolewa tu (Wanandoa) wewe upo kwenye mahusiano ya ndoa? Kama ndio, basi madhara makubwa ni kuvunjika kwa ndoa yako na kama hujaoa au kuolewa, hakuna madhara yeyote usipozini hata ukikaa miaka mia!!
 
Kwani mapadri hukosa hiyo happiness au kupata stress! Maana hawajawahi kunanilii toka wazaliwe.

mhm itabidi twende tukawapime happiness level yao ila sasa itabidi tumepime before kufaya na baada ya kufanya hivyo watavunja amri yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom