Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

TAFITI za kisayansi zimebaini kuwa nguo za ndani hasa zinazobana kwa wanaume na zile za aina ya nailoni (nylon) zinaathiri uwezo wa mbegu za kiume, hivyo kushindwa kutunga mimba. Kwa habari zaidi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ndugu zanguni! naombeni msaada ju ya tatizo hili: skio haliumi(halina maumivu) bali linamngurumo wa sauti mfano wa mdudu nyenze mlio ambao hunikera skioni na kunipa hofu maana si hali ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naombeni mnishauri mwenzenu, demu wangu kapima na ana -[negative]. hivi kiafya kuna madhara gani ambayo naweza kupata, hususani katika kazaa watoo. Inasemekana kwamba watoto wanafariki, je...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari naitwa francis mathias nina mchumba wangu anapenda sana kubemba mimba lakini nashindwa kupangialia tarehe yake ya hatari .Nanimefuatilia mzunguko wake wa hedhi kwa mda miezi mitatu kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa kawaida mwanamume anayeishi maeneo ya joto anapaswa kuwa makini sana, ili kuhifadhi vizuri manii yake anatakiwa kutumia mavazi yenye kupitisha hewa,” alisema Dk Massawe. TAFITI za kisayansi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Frederica Michael,mwanamke anayelalamikia kipimo cha DNA. KWA UFUPI ‘Nilimpenda mno mume wangu Mushi, Mungu anajua, lakini ameniacha kwa sababu ya majibu ya DNA ambayo nina hakika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mi .naomba nisaidiwe nini chanZo cha premature membrane rapture kwa wajawazito?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari madoctor wa familia ya Jf natumai hamjambo. Shemeji yenu anaomba msaada wenu wa kiudakitari kwa miaka minne iliyopita alijaliwa kupata mtoto,na alikuwa anatumia sindano kupanga uzazi kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Alhamisi jion wk hii, mshkaji wangu kaja geto. Kwa hali isiyo ya kawaida akawa anajikuna sana kenye ANUS PART , kwa kuibia tu dizain flan nisimuone. Lkn nikagundua hili ni tatizo Nikahoji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa najiuliza hivi pombe pamoja na kukatazwa na imani tofauti tofauti, Madaktari kuwazuia baadhi ya wagonjwa, na watu wengi kupewa ushauri waache pombe. Lakini cha ajabu pombe inazidi...
0 Reactions
62 Replies
28K Views
jamani nani anafahamu hospitali za india zinazotibu mambo ya infertility ambayo ni ya uhakika kwenye huduma ya ivf na gharama zake je aga khan kuna gyno mzuri, coz i real want to have a baby guys
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau, Naomba tusaidiane katika kujadili hili suala la watoto ambao wamefikisha miaka 10 au zaidi kuendelea kukojoa kitandani, wakiwa wamelala usiku. Je, tataizo ni nini? na matibabu yake ni yapi?
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Jumapili iliyopita nilijisikia kizunguzungu na kichwa kuwa kizito.Nikaenda hospitali wakanipima pressure wakaona 123/75.Wakapima damu na kuona sina maleria bali nina Typhoip.Nikapewa dawa za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau na wataalam wa mambo ya afya, nauliza je kuna madhara yoyote ambayo mtoto anaweza kuyapata kwa wazazi wake kwa kufanya tendo la ndoa bila kinga?
1 Reactions
12 Replies
6K Views
PIA UHARIBU MIMBA, HUATHIRI NGUVU ZA KIUME NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU MIONZI ya simu za mkononi inaweza kuathiri maendeleo ya ubongo wa watoto walioko tumboni mwa mama zao, utafiti...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani naombeni ushauri na mawazo. Tatizo langu naweza nika maliza siku 2 bila ya kwenda haja kubwa, cha ajabu naweza nikawa najisikia kabisa kwenda kujisaidi lakini nikifika msalani naishia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu Hivi kama wewe ni mwanaume na una rafiki yako ambae ni daktari wa kina mama gynaecologist utaruhusu awe daktari wa mke wako?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wana jamii,naomba ushauri kuhusu maumivu makali ya kichwa upande wa kushoto baada ya kujifungua kawaida.Dr alisema ni kawaida kuumwa kichwa kwa mama anyonyeshaye ila naona yanaongezeka...
0 Reactions
10 Replies
59K Views
jamani mi natafuta mwanasaikologia wa kunisaidia kuondokana na woga kwani nina tatizo hilo hadi nashindwa kabisa kuongea mbele ya watu,,,,hivyo nimeshauriwa na rafiki zangu nitafute...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kijielezavyo, mimi nimekuwa nikinyolea madawa hasa vitt, baada ya nyembe za aina zote na mashine za kunyolea kuwa zinanitoa mapele maeneo nyeti. Tena mapele yenyewe yalikuwa...
1 Reactions
18 Replies
11K Views
Back
Top Bottom