Je ukifanya tendo la ndoa na mkeo bila kinga kuna madhara yoyote kwa mtoto anayenyonya?

msagalam

Member
May 30, 2012
29
95
Wadau na wataalam wa mambo ya afya, nauliza je kuna madhara yoyote ambayo mtoto anaweza kuyapata kwa wazazi wake kwa kufanya tendo la ndoa bila kinga?
 
COURTESY

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
2,008
1,225
Mtoto ana umri gani mkuu?Angalieni msije kumbemenda akawa na akili za magamba kina riz
 
msagalam

Member
May 30, 2012
29
95
suala la kubemenda ni kutembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine au mwanaume mwingine then unafika home unamshika dogo huku ukiwa hujaoga so lile jasho ndio linapelekea hiyo hali au kuwa na mimba nyingine bila kujua wakati mtoto mwingine bado ananyonya",mada niliulizwa binafsi nikawa sina jibu la moja kwa moja nikaona nipate maoni ya wengine,Kid ana Mwaka mmoja na anatembea kama kawaida sasa je kwa manufaa ya wengine je kuna madhara gani kwa tendo hilo kwenda kavu?
 
Bayyo

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,811
2,000
Sidhani kama kuna madhari kisayansi, labda hizi imani zetu hasa za kiafrika ndo zinaleta mushkel.
 
Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
60,651
2,000
Kama mtoto ananyonya hayo madhara yatatoka wapi ndugu?....
Muhimu ni kuepuka kunyonya au kuchezea matiti ya mama.
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,863
2,000
Hakuna madhara yoyote isipokuwa ni imani tu za kizamani. Mimi baba yenu niliwazaa na kuwalea nyinyi nyote nikibang bila hiyio ndude na mnajiona mlivyo na afya.
 
mwakaboko

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,916
2,000
suala la kubemenda ni kutembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine au mwanaume mwingine then unafika home unamshika dogo huku ukiwa hujaoga so lile jasho ndio linapelekea hiyo hali au kuwa na mimba nyingine bila kujua wakati mtoto mwingine bado ananyonya",mada niliulizwa binafsi nikawa sina jibu la moja kwa moja nikaona nipate maoni ya wengine,Kid ana Mwaka mmoja na anatembea kama kawaida sasa je kwa manufaa ya wengine je kuna madhara gani kwa tendo hilo kwenda kavu?
du!!!! wewe muongo mpaka nimekuogopa, nani alikuambia hiyo ndiyo maana ya kubemenda,
 
HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
912
1,000
Hakuna madhara ila angalia usije ukampa mkeo mimba mtoto akashindwa kumaliza kunyonya muda wa kutosha. Hata kama mkeo hajaanza kupata siku zake, anaweza kushika mimba. Maziwa ya mama yana antibacterial properties, kwahiyo yanasaidia kumkinga mtoto dhidi ya maradhi. Kubemenda mtoto ni myth tu za uswahilini.Wadau na wataalam wa mambo ya afya, nauliza je kuna madhara yoyote ambayo mtoto anaweza kuyapata kwa wazazi wake kwa kufanya tendo la ndoa bila kinga?
 
Mganga wa Jadi

JF-Expert Member
Mar 12, 2008
280
225
Kitaalam hakuna madhara yoyote. Idealy mama anapomaliza kipindi cha uzazi, 42 days mnaweza kuanza kutumia haki yenu ya ndoa.
 
Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,690
2,000
suala la kubemenda ni kutembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine au mwanaume mwingine then unafika home unamshika dogo huku ukiwa hujaoga so lile jasho ndio linapelekea hiyo hali au kuwa na mimba nyingine bila kujua wakati mtoto mwingine bado ananyonya",mada niliulizwa binafsi nikawa sina jibu la moja kwa moja nikaona nipate maoni ya wengine,Kid ana Mwaka mmoja na anatembea kama kawaida sasa je kwa manufaa ya wengine je kuna madhara gani kwa tendo hilo kwenda kavu?

Hii tunasema Mythcal Vs Reality!

Anyway,kitendo kama kitendo hakina madara yoyote. Isipokuwa,kama baba atakuwa sio mwaminifu,akatoka nje ya ndoa,halafu akapata maambukizi ya ugonjwa let's say akapata HIV,atakapofanya kitendo hicho unprotected atamwambukiza mama kisha mama naye atamwambukiza mtoto thru kunyonya.

Ni vema tukajitahidi kujua hasa wakati wa tendo mwanaume ana-emit kitu gani. Tukishajua hilo,hizi stories za vijiweni hazitatusumbua sana.Kwa sababu watu wengine wanadhani pengine sperms is a big deal,which is not true. Composition ya male ejaculate ni sperms tu,kuna components kibao. Lakini pia hata baada ya ejaculation,kwa kawaida ni mbegu moja tu (au mara chache mbili) inayorutubisha yai.Swali:Mbegu zingine zinakwenda wapi? Jibu:Mbegu zingine zinakufa within 72-100hrs,zikisha kufa baadhi zinakuwa absorbed kama protein ya kawaida na zingine zinakuwa flashed out kama uchafu mwingine wa kawida.Tukumbuke ule mchuzi,wote unabakia kwenye v.a.g.i.n.a,ni mbegu chache sana zinazoswim kuingia kwenye mirija ya uzazi(fallopian tubes).Kwa hiyo ule mchuzi baada ya hapo unatoka nje aidha mama anajisafisha au unadischarge wenyewe,kwa kuwa vaginal surface haina uwezo wa kuabsorb sperms wala mchuzi wake.

Kwa hiyo tunapokuwa vijiweni tujitahidi kuwa makini,kuna watu wengi wanafundisha physiology ya kupotosha sana.Tujenge mazoea ya kutumia google jamani,tusipende kudanganyika kirahisi hivyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom