Natafuta mwanaikologia wa kunisaidia kuondokana na woga

D

diet

Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
56
Points
0
D

diet

Member
Joined Aug 1, 2012
56 0
jamani mi natafuta mwanasaikologia wa kunisaidia kuondokana na woga kwani nina tatizo hilo hadi nashindwa kabisa kuongea mbele ya watu,,,,hivyo nimeshauriwa na rafiki zangu nitafute mwanasaikolojia kwani tatizo langu litaweza kupungua na hadi kuisha kabisa, hivyo naomba mnielekeze kwa hao wanasaikolojia wanaopatikana jijini dar kwani nitakuwa huko mwezi huu mungu akijalia uzima. asanteni
 
jamii01

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Messages
1,872
Points
1,500
jamii01

jamii01

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2010
1,872 1,500
wewe ni jinsia gani ME au KE?umri wako je?kisha nitarudi
 
Nzi

Nzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
13,697
Points
2,000
Nzi

Nzi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
13,697 2,000
Mwanaikolojia au mwanasaikolojia?
Kwenye kichwa cha uzi, umeandika mwanaikolojia; kwenye uzi wenyewe umeandika mwanasaikolojia!!

Omba urekebishiwe kichwa cha uzi diet
 
Last edited by a moderator:
Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
11,778
Points
2,000
Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
11,778 2,000
mi nakushauri uanze kwa kufanya utafiti kwenye mitandao na literatures mbali mbali. kwa kuanzia tu tatizo lako litakuwa ni anxiety aina ya phobia espicially social phobia. kwa hiyo utafute materials zinazozungumzia anxiety, phobias na social phobias. pia kuna njia ya kukabiliana na matatizo ya uoga inaitwa exposure unafanya kile unachokiogopa taratibu taratibu mpaka unakimaster. mfano unajiwekea malengo ya kumtazama mtu usoni unapoongea nae au kuongea na mtu/watu wapya walau mara moja kwa wiki. ni vema ukaanza kidogo kidogo hasa kwa wale wa karibu ili usijiumize. wanasaikolojia dar labda uende kitengo cha magonjwa ya akili muhimbili unaweza pata msaada.
 
SoNotorious

SoNotorious

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2011
Messages
2,424
Points
1,195
SoNotorious

SoNotorious

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2011
2,424 1,195
jarbio la kwanza naomba utumie jina lako halisi hapa jamiiforum, acha kuzuga na diet, ukifaulu hapo nakupa test ingine mpaka uwe na uso wa mbuzi
 
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,159
Points
2,000
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,159 2,000
jamani mi natafuta mwanasaikologia wa kunisaidia kuondokana na woga kwani nina tatizo hilo hadi nashindwa kabisa kuongea mbele ya watu,,,,hivyo nimeshauriwa na rafiki zangu nitafute mwanasaikolojia kwani tatizo langu litaweza kupungua na hadi kuisha kabisa, hivyo naomba mnielekeze kwa hao wanasaikolojia wanaopatikana jijini dar kwani nitakuwa huko mwezi huu mungu akijalia uzima. asanteni
Duh... pole mkuu... ngoja wenyeji waje. Ningeweza ningekugaia uso mbuzi wangu....
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,069
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,069 2,000
jarbio la kwanza naomba utumie jina lako halisi hapa jamiiforum, acha kuzuga na diet, ukifaulu hapo nakupa test ingine mpaka uwe na uso wa mbuzi
Duh... pole mkuu... ngoja wenyeji waje. Ningeweza ningekugaia uso mbuzi wangu....
Wakuu Kiswahili kimepanuka Mtu kuwa na Uso wa mbuzi ndi vipi jamani? Sipo siku nyingi kiswahili kimepanuka namna hivyo nielewesheni jamani wakuu wenzangu SoNotorious na charminglady
 
Last edited by a moderator:
Chum Chang

Chum Chang

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,001
Points
0
Chum Chang

Chum Chang

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,001 0
Yeye ana tatizo la aibu na wengine mnataka kumpa uso wa mbuzi sasa si mtamkimbia hata kumuangalia mtashindwa
Huyu mwenzetu ameamua kuleta tatizo lake kwetu sisi tunaelekeza utani zaidi kuliko msaada wajameni vipi?
:majani7:Mimi niliwai kumsikia mfanyakazi nwenzangu enzi niko zile ya kuwa ndumu,kijiti,msuba.majani ukipenda bangi ni dawa tosha na usiitumie kwa sana mpaka ukakulevya
Kwa ushauri zaidi jibu swali uliloulizwa hapo juuu wewe ni jinsia gani ili upate ushauri zaidi
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,495
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,495 1,250
Ukifika dar nitafute kwa pm naweza nikakupa a b c kwa kuanzia, unapaswa ujue kuwa ni kitu ambacho utatakiwa kukifanyia mazoezi taratibu na kwa muda mrefu, usijijengee sana dhana ya kuwa ni jambo ambalo linaweza kutibika overnight! all the best
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,069
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,069 2,000
kuwa na uso wa mbuzi ni kuwa kama JK, unakosa mshipa wa noma
Mkuu SoNotorious Mmmmhhhhh umefika mbali mkuu bado hujanijibu kabisa sijaridhika na jibu lako ni nini maana ya uso wa mbuzi?
 
Last edited by a moderator:
stevoh

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Messages
2,924
Points
1,195
stevoh

stevoh

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2011
2,924 1,195
Mimi "ME" pia nahitaji tiba ya kiakili.
 
CHIKITO

CHIKITO

Member
Joined
Dec 3, 2012
Messages
44
Points
70
CHIKITO

CHIKITO

Member
Joined Dec 3, 2012
44 70
Tumefika hapa tulipo kutokana na watu kama hawa wasiojitambua na hawajui kama hawajitambui HATA OBAMA akiwa RAIS wa BONGO kwa mtindo huu bado ni zero hili ni jukwaa serious ambapo people can discuss mambo muhimu kuhusu afya zao unakurupuka tu UNASHINDWA HATA NA MIMI UNDER 17 NILIEJIUNGA JF JUZ.
 
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,821
Points
2,000
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,821 2,000
Tumefika hapa tulipo kutokana na watu kama hawa wasiojitambua na hawajui kama hawajitambui HATA OBAMA akiwa RAIS wa BONGO kwa mtindo huu bado ni zero hili ni jukwaa serious ambapo people can discuss mambo muhimu kuhusu afya zao unakurupuka tu UNASHINDWA HATA NA MIMI UNDER 17 NILIEJIUNGA JF JUZ.
Huu ujumbe ni kwa mtoa mada au nani?? Kama ni kwa diet utakuwa umekosea sana, kwani hujui kuwa kuwa na aibu nao ni ugonjwa??
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,069
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,069 2,000
Bibie diet Pole kwa hayo matatizo uliyokuwa nayo jaribu kutumia hii dawa yangu kula kwa wingi hii dawa inaitwa Lozi au kwa kiingereza inaitwa Almond kula kutwa mara 3 kwamuda kama mwezi mmoja kisha uje hapa kunipa feedback angalia kwenye picha Lozi inasaidia kuondowa wasiwasi na Woga na maradhi mengine tu.Almond Lozi inapatikana Sokoni kariakoo au katika Ma-SuperMarket pia inapatikana ni Dawa ya kuondosha wasiwasi na woga na maradhi mengine.Lozi inajulikana kama ni King katika jamii ya njugu, ina elements karibia ya zote zinazohitajika katika mwili wa mwanadam. Ni chakula chenye kutia nishati mwili na akili.
Kuna aina mbili za Lozi, kuna lozi zile tamu na kuna lozi chungu kuna zenye ngozi nyembamba (thin-skinned) na kuna zenye ngozi nene(thick-skinned) hii ni katika aina ya lozi tamu ambazo ndio tunazozitumia na tunahitajika kutumia ama zile lozi chungu zina prussic acid ambayo ni sumu hata hivo hizo lozi chungu zinatumika katika mambo ya kutengenezea cosmetics, mafuta ya lozi (almond oil) pia na perfumes.

Nchi mashuhuri yenye Lozi ni Morocco, pia lozi zilionekana katika miaka mingi nyuma katika nchi ya Syria na Palastine inasemekana katika zama za Nabii Issa A.S. Hata hivo sasa hivi lozi zinazalishwa sehemu nyingi duniani kama Italy,California,Australia,Sou th Africa,Kashmir na sehemu nyingi za Asia.

Food Value: Minerals and Vitamins
Moisture 5.2% Calcium 230 mg
Protein 20.8% Phosphorus 490 mg
Fat 58.9% Iron 4.5 mg
Minerals 2.9% Niacin 4.4 mg
Fibre 1.7%
Carbohydrates 10.5%

Ndani ya lozi pia kuna upatikanaji wa copper, iron phosphorus na Vitamin B, vitu hivi vinasaidia katika upatikanaji wa new blood cells, haemoglobin pia inasaidia ubongo, mishipa, mifupa, moyo na ini kufanya kazi kwa wepesi kabisa. Lozi insaidia kupanua na kutia nguvu muscles za ubongo katika kuongeza fahamu.

Old ages:Utu uzima wa kiumri.
Chukua lozi kiasi na uziroweka katika maji na baadae utoe ngozi yake ikisha uzisage na kufanya paste kwa kutumia kama siagi, hii huongeza proteins ndani ya mwili na hasa kwa watu wazima, pia unaweza kutia katika maziwa na ukanywa hii nzuri kwa watoto.

Anaemia: upungufu wa damu
Kuna upatikanaji wa copper katika lozi katika rate 1.15mg per 100 grams, copper pamoja na iron na vitamins hizi zinatumika kama ni catalyst katika mfumo wa blood haemoglobin. Kwa hiyo wenye maradhi ya upungufu wa damu ni vizuri mtu kutumia lozi kwa sana.

Constipation:kupata choo
Kwa wale wenye matatizo ya kupata choo, ni uzuri kula lozi wakati wa usiku kabla ya kwenda kulala.

Impotency:upunguvu wa nguvu za kiume
Kwa wale wenye upunguvu wa nguvu za kiume na za kike, wale lozi kwa wingi.

Skin Disorder:maradhi ya ukoma
Kwa wale wenye maradhi ya ukoma, wasage lozi iwe laini ikisha wajipake pale palipoathirika, na pia kwa wale wenye pimples. Chanzo: MziziMkavu ( Specialist Researcher for herb Treatment)
 
Last edited by a moderator:
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,688
Points
2,000
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,688 2,000
Aisee, kumbe eeh?

M

MAWERE

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Messages
453
Points
195
M

MAWERE

JF-Expert Member
Joined May 24, 2012
453 195
Ndugu asante sana kwa majibu mazuriu na msaada pia..phobia ni tatizo letu hata mimi lininisumbu sana hata wakati mwingine najichukia. Nashindwa kujua nifayeje!sec naomba utusaidie zaidi pia katika jambo hili naomba unitumie mail yako kwenye hii namba but nipo job kwa sababu za kiusalama nawashaga naangalia sms.na kuzima tuweke appoiment wewe ni msaada nipo lugalo ...0753--873--610
 
Forum statistics

Threads 1,283,843
Members 493,850
Posts 30,802,759
Top