Mrindimo unakosesha amani.

GLORY TO GOD

Member
Oct 15, 2012
45
0
Habari ndugu zanguni!
naombeni msaada ju ya tatizo hili:
skio haliumi(halina maumivu) bali linamngurumo wa sauti mfano wa mdudu nyenze mlio ambao hunikera skioni na kunipa hofu maana si hali ya kawaida yafika mwaka sasa nimetumia dawa za hospitali na za kienyeji bila mafanikio.
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,605
2,000
Habari ndugu zanguni!
naombeni msaada ju ya tatizo hili:
skio haliumi(halina maumivu) bali linamngurumo wa sauti mfano wa mdudu nyenze mlio ambao hunikera skioni na kunipa hofu maana si hali ya kawaida yafika mwaka sasa nimetumia dawa za hospitali na za kienyeji bila mafanikio.
Pole sana Mkuu@[URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=105943"]GLORY TO GOD[/URL] sasa wewe badala ya kwenda Hospitali kutibiwa unakuja hapa kutaka ushauri kuhusu hilo tatizo lako la sikio ?Vipi mkuu nenda Hospiatali watakusafisha kukutoa huo uchafu ulikuwamo ndani ya sikio fanya upesi kabla ya sikio lako kuongezeka tatizo lingine .
 

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Jul 1, 2012
3,601
2,000
Mkuu GLORY TO GOD, pole,

Nashindwa kuelewa kama ni tatizo ulilo nalo KWELI, maana mara kadhaa umekuwa ukianzisha uzi/nyuzi mbalimbali kutaka ushauri na pia kutoa ushauri, na sidhani kama lingekuwa tatizo halisi(real) usingelizungumzia kabla!

Anyway, ni dawa gani za hospitali ulizitumia, na kwanini walikupa dawa hizo?Je, uliwaeleza tatizo lilivyo kama ulivyoeleza hapa? kwa maana, kama mkuu MziziMkavu alivyosema ni vyema kwenda hospitali kuchunguzwa yaani kujua aina hasa ya tatizo kwa vipimo,..lakini kama U mbali na hospitali hebu toa maelezo zaidi ya tatizo lako.
 
Last edited by a moderator:

GLORY TO GOD

Member
Oct 15, 2012
45
0
Mkuu
GLORY TO GOD, pole,

Nashindwa kuelewa kama ni tatizo ulilo nalo KWELI, maana mara kadhaa
umekuwa ukianzisha uzi/nyuzi mbalimbali kutaka ushauri na pia kutoa
ushauri, na sidhani kama lingekuwa tatizo halisi(real) usingelizungumzia
kabla!

Anyway, ni dawa gani za hospitali ulizitumia, na kwanini walikupa dawa
hizo?Je, uliwaeleza tatizo lilivyo kama ulivyoeleza hapa? kwa maana,
kama mkuu MziziMkavu alivyosema ni vyema kwenda
hospitali kuchunguzwa yaani kujua aina hasa ya tatizo kwa
vipimo,..lakini kama U mbali na hospitali hebu toa maelezo zaidi ya
tatizo lako.

Nahisi mna nifananisha na GLORYTOGOD,Nimegundua jana km kuna m2 mwengine anatumia identity kama yangu dat y inaleta confusion.
by de wy msaada kwa anaejua hiyo dawa ya kuondosha mlio huo skioni.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom