Uzazi

mths

New Member
Dec 6, 2012
2
0
Habari naitwa francis mathias nina mchumba wangu anapenda sana kubemba mimba lakini nashindwa kupangialia tarehe yake ya hatari .Nanimefuatilia mzunguko wake wa hedhi kwa mda miezi mitatu kwa Mfano: aliingia tarehe 2/9/2012 hadi 2/10/2012 nikahesabu nikapata mzunguko wa siku 31 nikaja mwezi wa kumi na moja aliingia tarehe 1/11/2012 nikamjalibu kuvizia siku yake ya hatari nilichukua idadi ya 31 nikatoa 11 nikapata 20 nikagundua siku yake ya hatari ni tarehe 21/11/2012 nanilishiriki tendo tokea tarehe 7,13,14 18,20,21,26,27 .Nayeye mzunguko wake ni wa siku 31 karibia mda mrefu kabla anakwenda hivyo, na uchukua siku 7 hedhi yake .Cha kushangaza mwezi hulio pita alingia 1/11/2012 na nikajua kuwa ataingia tena tare 1/12/2012 ili kufikisha siku 31 na ilipo fika tare 1,2,3,4,5 alipopitiliza nilijuwa tayari kisha beba mimba nikamwambia tujalibu kuangalia hadi tarehe tano ilifika 5/12/2012 amepata hedhi na nikiesabu taena nakuta siku 35 badala ya 31 je ni siku hipi kwake itakuwa ni ya hatari na utajuwaje ovoulation imewadiwa? maana nilikuwa na fuatilia kwa mda mada hizi kuda dalili kama tatu nazo zijuwa .1 joto kubadilika 2.utete ktk ukeni jamii ya yai bichi 3.kupata maumivu katika wakati wa kujamiiana.
Naomba kama sasa hivi ameingia tarehe 5/12/2012 je lini itakuwa siku ya hatari na mzunguko wake utakuwa ni wangapi 31 umebadilika kwani hali hii iliwai kutokea katika mwezi 3 alipitiliza kama wiki nikajuwa kisha beba mimba matokeo yake akapata bleed

 

KANYIMBI

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
1,871
3,612
Mkuu, hebu jaribu kutafuta humu Jf siku za nyuma kulikuwa na topic nzuri yenye majibu ya swali lako. Kama sio hapa 'JF Doctor' basi ni kule kwenye 'Mahusiano Mapenzi & urafiki'. Ila kwa kifupi ni kwamba huyo mwenzio naona yupo kwenye mzunguko ambao ni Normal. Hivyo siku nzuri kwake kushika mimba ni siku ya 14 tangu alipoingia hedhi. Umesema mwezi huu aliingia tar. 5 hivyo siku yake ya 14 ni tar 18 dec. Pia jambo jingine la muhimu ni kwamba wewe mwanaume usifanye tendo la ndoa kwa siku tatu kabla ya tarehe hiyo ya 14. (Yani tar. 15,16 na 17) ili mbegu zako ziwe na nguvu ya kuweza kushika mimba. Hizo siku tatu za kupumzika ni muhimu sana kwani siku hizi kuna idadi kubwa ya wanaume wenye matatizo ya kutoa mbegu zenye kuweza kushika mimba kuliko wanawake.
 

mths

New Member
Dec 6, 2012
2
0
Ahsante sana Mr Kanimbi nitajalibu kufanya hiyvo kwa kupitia ushauli wako.Na nimejaribu kutafuta hiyo mada uliosema nimeikosa. Sasa pamoja na hayo umesema siku zake ni zakawaida je alipo ingia tare 1/11/2012 alichukua siku saba 7 za bleed nanikamtegea tare 13/11/2012 na tarehe 14/11/2012 mbona siku fanikiwa au kwa mwezi wa kumi na moja siku yake ili kuwa lini? na Je yeye anamzunguko wa siku ngapi 22,28,31-35?
Je nikitumia mfano huu na weza kufanikiwa pia maana kunawengine wana hesabu kwenda mbele na wengine kurudi nyuma yani tarehe ya bleed inayofuta mfano:-

Naomba nitoe mifano hai kwa faida ya dada zetu na wengine:

1. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd.

Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 8th day ya kalenda yake. Hivo 8th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 22. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!


2. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 28 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 14th day. Inamaana kwamba 14th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 28. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!


3. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 35 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th, 29th, 30th, 31st, 32nd, 33rd, 34th, 35th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 35th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 21st day. Inamaana kwamba 21st day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 35. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!


4. Kama mwanamke ana abnormal menstration cycle ya siku 15 , BASI KUNAUWEZEKANO WA KUTOPATA MIMBA KABISA KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI:

Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama kawaida:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 1st day. Inamaana kwamba, the 1st day of her bleedind ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom