KUTOPATA HEDHI KWA WANAWAKE
Vichangizi vya mwenedo mbaya wa maisha (lifestyle factors) ya kila siku kwa wanawake, huchangia wanawake kuacha kupata hedhi, hii ni kutokana na utafiti uliofanya...
MAJI HUKINGA NA KUPONYA SHINIKIZO LA DAMU (BP):
Shinikizo la damu (hasa la juu) ni kiashiria cha mwili kupungukiwa maji kwa kiwango kikubwa, ni wakati ambapo mwili unajaribu...
Jamani akina Dada, mama, na wengineo ambao wamekuwa wakisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya chunusi, vipele viipele kuzunguka macho, ngozi kuwa kavu au yenye mafuta mengi na matatizo mengi...
Jamani, hivi wameishia wapi wale madaktari wawili
wa kimarekani ambao ilikuwa inasemekana wamegundua
dawa ya ukimwi?
Mbona jambo lenyewe limezimika gafla kama kibatari kilichoishiwa
mafuta?
Ni...
BABARI!
napenda kuchukua nafasi hii kubadilihsana nanyi kidogu mawazo. afya ni kitu cha msingi sana kwa mwanadamu awayeyote kwan hata kama una mali nyingi kama afya inamgogoro uthamani wa mali...
Angalia afya yako hapa bure: http://symptoms.webmd.com/#./introView
NOTE: This tool does not provide medical advice It is intended for informational purposes only. It is not a substitute for...
REVIVE
Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.
KAZI YA...
wadau mm nna miaka 30. leo kwa mara ya kwanza nimetolewa jino moja, lilikua lishaoza.
hili jino lilikua linaniuma muda mrefu nyuma. Lakini kwa ujinga wangu nikawa napuuzia kwenda kwa dentist...
TAFITI za kisayansi zimebaini kuwa nguo za ndani hasa zinazobana kwa wanaume na zile za aina ya nailoni (nylon) zinaathiri uwezo wa mbegu za kiume, hivyo kushindwa kutunga mimba.
Utafiti huo...
Upset Stomach is a common but non specific stomach ailment that is mostly caused due to irregular or wrong eating habits. In addition, food allergies tend to give rise to constant or chronic Upset...
Naitaji msaada wenu hivi kipindi cha kubalehe unakuta uume hauja kuwa vizuri na mtu kasha anza kupiga punyeto hvi kutokana na kufanya hivyo kunaweza sababisha uume usikue tena.
Nimeanzisha utaratibu wa kuanza kunywa kahawa
kabla ya kwenda mazoezini. Nimejikuta nikiwa mchangamfu
kupita kiasi na mwili kutamani kuendelea na mazoezi zaidi na
zaidi.
1. Je kwa utaratibu huu...
Haya mawe yanayouzwa kwa mbwebwe nyingi ya kwamba yanao uwezo wa kuondoa sumu ya nyoka yananipa maswali kadhaa ikiwayo:
- je ni kweli yanaondoa sumu ya nyoka?;
- je yanaondoa aina zote za sumu...
Wana JF heshima mbele
Kuna tatizo linanikosesha usingizi kwani nina wasiwasi.
Leo hii kuna ndugu yetu kakimbizwa muhimbili. Tatizo lake mimba imetungwa nje ya kizazi. Kwa maelezo ya ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.