Je madhara gani naweza kupata kwa kunyolea madawa yenye kemikali maeneo ya siri?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,956
6,418
Kama kichwa cha habari kijielezavyo, mimi nimekuwa nikinyolea madawa hasa vitt, baada ya nyembe za aina zote na mashine za kunyolea kuwa zinanitoa mapele maeneo nyeti.
Tena mapele yenyewe yalikuwa yakitoka usaha kiasi cha kunifanya nionekana kama mgonjwa wa magonjwa ya zinaa.
Nikahamia kwenye vitt, huko full raha, usafi bila mapele.
Je ni madhara gani naweza kuyapata kwa kuendelea kutumia kemikali hizi??
 
Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,358
11,569
vett si wameandika kabisa usitumie huko chini jamani?
kama wembe umeushindwa bora uchome na mshumaa! au utengeneze wax kama unaweza
 
Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,399
127,377
mpendwa, nakushauri utumie mkasi, ukishindwa bora uyafuge tu katika hali ya usafi, usiweke rasta, kumbuka kuyachana na nakuyapaka mafuta.
Pia ukiwepo maeneo ya nyumbani usivae nguo za ndani ili upigwe na hewa safi itakavyokufanya uwe mkavu na usitoke harufu
 
Sngs

Senior Member
Jul 25, 2011
111
9
mfano:we umaumwa alafu Doctor anataka kukuchoma sindano ile unavua nguo tu Doctor kasisimka maeneo ya nyeti (kaerect) je wewe utafanyeje? naomba jibu usicheke !!!!!!
 
Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,956
6,418
mkasi nimejaribu, pia ulikuwa ukiniletea mapele sebuleni
mpendwa, nakushauri utumie mkasi, ukishindwa bora uyafuge tu katika hali ya usafi, usiweke rasta, kumbuka kuyachana na nakuyapaka mafuta.
Pia ukiwepo maeneo ya nyumbani usivae nguo za ndani ili upigwe na hewa safi itakavyokufanya uwe mkavu na usitoke harufu
 
GlorytoGod

Senior Member
Sep 8, 2012
158
50
vett si wameandika kabisa usitumie huko chini jamani?
Kama wembe umeushindwa bora uchome na mshumaa! Au utengeneze wax kama unaweza

smile my dear hebu dadavua je ukinyolea sehemu nyingine tofauti na huko chini inafaa?
 
Bayyo

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,811
2,892
mfano:we umaumwa alafu Doctor anataka kukuchoma sindano ile unavua nguo tu Doctor kasisimka maeneo ya nyeti (kaerect) je wewe utafanyeje? naomba jibu usicheke !!!!!!
Teh teh teh! Unamwonaje Dr aki'erect'? Pole yako kama ishakukuta!
 
HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
912
859
Nami nilikuwa natumia hiyo dawa lakini nahisi kemikali yoyote inayoweza kuyeyusha nywele itakuwa mbaya kwa ajili ya afya yako. Ningeshauri utumie waxing. Inauma mara ya kwanza lakini utaanza kuzoea kadri ukizidi kuwax. Pia sababu nywele zinanyofolewa kwenye "mzizi" zitachukua muda mrefu zaidi kurudi.

Option nyingine ni kutumia mikazi midogo kwa ajili ya kupunguza. Cheap and painless.

Kama kichwa cha habari kijielezavyo, mimi nimekuwa nikinyolea madawa hasa vitt, baada ya nyembe za aina zote na mashine za kunyolea kuwa zinanitoa mapele maeneo nyeti.
Tena mapele yenyewe yalikuwa yakitoka usaha kiasi cha kunifanya nionekana kama mgonjwa wa magonjwa ya zinaa.
Nikahamia kwenye vitt, huko full raha, usafi bila mapele.
Je ni madhara gani naweza kuyapata kwa kuendelea kutumia kemikali hizi??
 
GlorytoGod

Senior Member
Sep 8, 2012
158
50
nami nilikuwa natumia hiyo dawa lakini nahisi kemikali yoyote inayoweza kuyeyusha nywele itakuwa mbaya kwa ajili ya afya yako. Ningeshauri utumie waxing. Inauma mara ya kwanza lakini utaanza kuzoea kadri ukizidi kuwax. Pia sababu nywele zinanyofolewa kwenye "mzizi" zitachukua muda mrefu zaidi kurudi.

Option nyingine ni kutumia mikazi midogo kwa ajili ya kupunguza. Cheap and painless.

mkuu honey bee nashukuru sa
na kwa
maelezo na ushauri wako hapo juu ila napenda tu kuuliza hiyo waxing haina madhara? Na zinapatikana wapi?
 
HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
912
859
Kuna wax ya mimea na wanyama, itabidi uangalie ingredients kwenye brand utakayonunua. I'm sure haina madhara kama kemikali inayoyeyusha nywele. Veet nailinganisha na relaxer, ukichelewa kuondoa kwenye ngozi inaweza kukuathiri.

Ukija kwenye wax, inapashwa moto na kuwekwa kwenye eneo unayotaka kuondoa nywele. Ikianza kupoa itanatia kwenye hizo nywele halafu itabidi uinyofoe haraka FYAAAHH!! inatoka na nywele zote. Rudia mpaka nywele ziishe. Kama nilivosema itauma lakini ukizidi kufanya maumivu yanapungua. Ndoa maana wengine wanaenda spa kutengenezwa sababu ni vigumu kujifanyia mwenyewe.

Sijui kama TZ zinapatikana kirahisi, lakini kama kuna spa mahali unaweza ukaenda kunyofolewa kitaalamu. Kulikuwa kuna thread mahali watu walikuwa wanaongelea bikini wax na brazilian wax.

mkuu honey bee nashukuru sa
na kwa
maelezo na ushauri wako hapo juu ila napenda tu kuuliza hiyo waxing haina madhara? Na zinapatikana wapi?
 
GlorytoGod

Senior Member
Sep 8, 2012
158
50
kuna wax ya mimea na wanyama, itabidi uangalie ingredients kwenye brand utakayonunua. I'm sure haina madhara kama kemikali inayoyeyusha nywele. Veet nailinganisha na relaxer, ukichelewa kuondoa kwenye ngozi inaweza kukuathiri.

Ukija kwenye wax, inapashwa moto na kuwekwa kwenye eneo unayotaka kuondoa nywele. Ikianza kupoa itanatia kwenye hizo nywele halafu itabidi uinyofoe haraka fyaaahh!! Inatoka na nywele zote. Rudia mpaka nywele ziishe. Kama nilivosema itauma lakini ukizidi kufanya maumivu yanapungua. Ndoa maana wengine wanaenda spa kutengenezwa sababu ni vigumu kujifanyia mwenyewe.

Sijui kama tz zinapatikana kirahisi, lakini kama kuna spa mahali unaweza ukaenda kunyofolewa kitaalamu. Kulikuwa kuna thread mahali watu walikuwa wanaongelea bikini wax na brazilian wax.inaelekea hii ni nzuri sana mkuu ila kama tz haipatikani hapo ndo shida ningeipata ningejaribu kuinunua hiyo ila ndo hivyo tena na vp hizo brazia na bkini zinapatikana madukani?
 
HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
912
859
Hapana hizo ni mitindo. Tumia mkasi. Hutataka kutumia zaidi ya dola 30 kwa ajili ya kunyoa privates zako.

inaelekea hii ni nzuri sana mkuu ila kama tz haipatikani hapo ndo shida ningeipata ningejaribu kuinunua hiyo ila ndo hivyo tena na vp hizo brazia na bkini zinapatikana madukani?
 
snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,373
1,007
hii topik kiboko,,,nyoa na utumiacho kama kawaida,kisha paka spirit...kama utaogopa hayo maumivu,kuna shavers zinapatikana pharmacies,zinakuwa na kama dawa flani hivi ambayo hugusa ngozi kila unyoapo.mimi natumia hizo,brand yake inaitwa "schik".labda itakusaidia....hee,kumbe watu wote wa JF mna mavoo's?
 
Jalem

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
217
71
Nakushauri usiendelee kutumia madawa haya kwani madhara yake yatakuja mbele ya safari ktk kuyatumia, nakushauri utumia white fluid flani yakutoka German baada ya kunyoa kwa nyembe special zilizo na mkono wa plastic.
Kuna rafiki yangu alikuwa akinyoa kwa wembe wowote alikuwa anaota mapele mabaya sana, lkn alipoanza kutumia dawa hiyo ambayo inazua mapele baada ya kunyoa ambayo nikupaka juu ya paliponyolewa hutaota mapele tena
sababu kubwa ya kuota mapele nikuwa ngozi yako iko( so sensitive) na chochote kinachochoma, kama nywele ngumu wakati wakuota) ukitumia hiyo dawa toka German utatuambia barazani sikumoja.
 
Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,956
6,418
hununua bidhaa hizi kutoka katika duka gani?
hii topik kiboko,,,nyoa na utumiacho kama kawaida,kisha paka spirit...kama utaogopa hayo maumivu,kuna shavers zinapatikana pharmacies,zinakuwa na kama dawa flani hivi ambayo hugusa ngozi kila unyoapo.mimi natumia hizo,brand yake inaitwa "schik".labda itakusaidia....hee,kumbe watu wote wa JF mna mavoo's?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom