uzazi

saladi

Member
Dec 4, 2012
31
11
jamani nani anafahamu hospitali za india zinazotibu mambo ya infertility ambayo ni ya uhakika kwenye huduma ya ivf na gharama zake
je aga khan kuna gyno mzuri, coz i real want to have a baby guys
 
Pole sana Saladi kama hukujichezea ulipokuwa kinda. Sitaki niseme mengi ingawa inauma.
 
Dr. Kaguta ni mzuri sana kwa mambo hayo.....bahati anapatikana hapo hapo agha khan..
 
Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Usiwe desperate, endelea kumuomba Mungu kwa imani yako. Ulishawahi kutafuta matibabu? Manake ivf ni ya mwisho kabisa kwenye list. Kama bado, nenda agha khan ama regency ama tmj, sema unataka kumuona gynae. Wana drs wazuri tu. Angalia kwenye mtandao pia ivf treatment. Utaona mawasiliano. Nairobi, Dsm, India, Dubai na south africa ndio options ambazo ziko relatively cheap.
Kila la kheri.
 
Pole sana Saladi kama hukujichezea ulipokuwa kinda. Sitaki niseme mengi ingawa inauma.

hayo ya kujichezea ama kutokujichezea hayahusiki hapa mkuu. Ndio unyanyapaa huu tunaongelea kila siku. Hata anaepata hiv sio kwa sababu ni malaya, kuna alieletewa. Mshukuru Mungu kwa kukupa chances nyingi kwenye maisha, na usianze kuwaza negative ya wasiokuwa na ulivyonavyo. Kuna waliojichezea haswa na wana watoto na wanaendelea kujichezea.
 
Kama ni ugonjwa na siyo matokeo ya mchezo mchafu kama utoaji mimba nina huruma nawe. Kinyume na hii sina huruma na sitaogopa kusema ukweli ili wengine wapate somo. Kila la heri.
 
Saladi, binafsi nimekushauri uonane na mtaalamu wa magonjwa ya kina mama ili aweze kukufanyia uchunguzi na kujua tatizo lako. Na sio kila infertility problem inatibiwa kwa IVF, kwa kawaida hiyo huwa ni last option pale ambapo njia zote zimeshindikana. Hiyo ivf pia ina risk zake nyingi tu.
Sio lazima kwenda Aga khan hata hospitali zetu za kawaida tatizo lako linaweza kutatuliwa.
nakutakia kila lakheri na mungu akusaidie.
 
pole sana ila wewe una muda gani dani ya ndoa? jitahidi kujua mzunguko wako pili vyakula nayo ni tiba muhimu sana kwenye homoni maana tunakula vyakula ambavyo havina mbele ili mradi tuishi. tatu woane madactari achana na mawazo ya kwenda india anza kwanza bongo ninauhakika unaweza fanikiwa
 
thanks guys, kwa ushauri wenu,nitafanyia kazi,tatizo kubwa ni irregular menstrual period for about 2 up to 3 months na sikuwahi kabisa kutumia birth control pills since my teenage
 
Back
Top Bottom