International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wenzetu wanaendelea kufanya makubwa wakati huku Afrika tupo tupo almradi siku zisonge....huu mfumo unaangusha drone ya aina yoyote. DragonFire laser demonstration. (Supplied, UK government) The...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri mkuu wa zamani wa Israel, Ehud Baraka amemwambia waziri mkuu wa sasa,Bejamin Netanyahu kuwa kwa jina la Mungu aondoke madarakani. Ehud Barak amesema kwa kuendelea kuwepo madarakani kwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Bunge la Yemen leo limepitisha rasmi kuwa sheria na kutambua serikali za Uingereza na Marekani kama mtandao wa ugaidi duniani. Hii maana yake ni kwamba kuanzia leo Uingereza na marekani ni maadui...
44 Reactions
132 Replies
6K Views
Kaamua kuwawahisha wenzake kwa mabikira na kutoroka...... An Iranian soldier opened fire on fellow soldiers, killing five of them in the southeastern city of Kerman, where 94 people were killed...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Vijana wa houthis wanazidi kuchezea sharubu za super power.,mara hii wameshambulia meli ya marekani ikiwa na shehena ya vifaa vya kijeshi,hii Ngoma inazidi kuwa ngumu 🥱🥱 Sent from my Infinix...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Waarab wa Sudan wamekua wakizunguka nyumba kwa nyumba na kuchinja watu wa kabila la Masalit, ambao asili yao ni weusi, tena waislamu yaani dini ya hao waarabu, wanakata vichwa na kuua kila kitu...
4 Reactions
134 Replies
7K Views
Afrika Kusini imewasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ya (ICJ) iliyopo The Hague Nchini Uholanzi dhidi ya Israel kwa kile ilichokitaja kuwa ni vitendo vya “mauaji ya kimbari” katika...
1 Reactions
87 Replies
5K Views
"Rwanda imekuwa kivyake, hivyo hatuogopi na hatutishwi." Hii ni kauli ya Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakati wa sherehe za kuupokela mwaka mpya wa 2024 uliofanyika mjini Kigali Rwanda...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Akiongea wakati wa maombi ya Kitaifa Nchini humo, Kagame amesema “Watu wote tupo sawa mbele za Mungu hakuna Mtu ambaye yupo juu kuliko mwingine, ukweli huu uwe chanzo cha kuwapa hamasa na msukumo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukraine inadai kutungua ndege ya kisasa ya Urusi A-50 AWACS. Kazi kubwa ya ndege ilikua ni kuelekeza makombora ya S-400 kuweza kutungua ndege Vita za ukraine zikiwa umbali mrefu zaidi. Urusi...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam! Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake. Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi...
10 Reactions
101 Replies
5K Views
Vituko katika vita baina ya Israel na wapalestina daima havimaliziki ambapo maajabu mengi yameripotiiwa. Muuza duka mmoja kwenye kijiji cha Dura karibu na Hebrona anasimulia kuwa askari wa Israel...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Huku Israel ikiendelea kushambulia hospitali ambapo magaidi ya HAMAS yameweka kama makao makuu yao, waziri mkuu amesema hatositisha mashambulizi hata kama dunia yote itakua dhidi ya Israel, yaani...
10 Reactions
177 Replies
9K Views
Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000? Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini...
19 Reactions
156 Replies
6K Views
Huyu jamaa ndio atakuwa the first real black man to be president (vice) wa USA na labda pia president if something happens to President D.Trump na kushindwa kuendelea na urais wa USA. God Bless...
0 Reactions
10 Replies
998 Views
C.E.O wa kampuni ya kiteknolojia ya kimarekani Intel inayo husika na utengenezaji wa semiconductor anasema nchi ya China bado ipo miaka kumi nyuma katika teknolojia ya utengenezaji wa Chip na...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Jumla ya maeneo 16 ya kuzikiana watu huko Gaza yamefukuliwa na jeshi la Israel kwa kile wanachokiita kutafuta mateka. Pamoja na kufukua makaburi hayo vile vile katika baadhi ya maeneo wamejenga...
0 Reactions
9 Replies
869 Views
Ikiwa miezi mitatau imetimia tangu vita vianze kati ya Israel na Palestina na bila mshindi kupatikana, wafuatiliaji wa vita hivyo wana nafasi ya kuchagua wa kupewa nishani baada ya kumalizika kwa...
7 Reactions
38 Replies
6K Views
Mmoja ya mtu muhimu katika baraza la kuongoza vita baina ya Israel na Hamas amesema usalama wa mateka uwekwe mwanzo kabla maamuzi ya kuendeleza vita na Hamas, Kiongozi huyo,Gadi Eisenkot ambaye...
0 Reactions
6 Replies
931 Views
Mkutano wa 19 wa kilele wa Harakati ya Kutofungamana na Upande Wowote NAM umemalizika huku Mkutano wa 3 wa wakuu wa Nchi za Kusini ukitarajiwa kufanyika mjini Kampala, Uganda. Huu ni wakati...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Back
Top Bottom