Bunge la Yemen kuitambua rasmi US na UK kama mtandao wa Ugaidi Duniani

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,653
16,005
Bunge la Yemen leo limepitisha rasmi kuwa sheria na kutambua serikali za Uingereza na Marekani kama mtandao wa ugaidi duniani.

Hii maana yake ni kwamba kuanzia leo Uingereza na marekani ni maadui wa Yemen kisheria na kwamba kwa namna yeyote ile wanapokutana ni mapambano tu.

Screenshot_20240121_153007_X.jpg
 
Wanahangaika na mafuta yanayopatikana mashariki ya kati.

Siku mafuta yakiisha ukanda huo, kamwe hautawaona wakihangaika na taifa lolote la mashariki ya kati.
Imeshabuma hiyo . Hapo mashariki ya kati hawatakiwi kuonekana. Mafuta bado yapo sana hayataisha leo wala kesho waje kujaribu huku Afrika huko wenyewe wameshawakataa.
 
Back
Top Bottom