Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,660
- 46,327
Marekani imeendelea kujiimarisha kama muuzaji mkubwa zaidi wa silaha duniani baada ya Biden kutoa ruhusa Uturuki kuuziwa ndege za F-16 za bilioni $23. Ugiriki nayo imepata kibali kununua ndege hizo za bilioni $8.
Uturuki ilipeleka order ya ndege hizo zinazoaminika ni mojawapo ya ndege bora za kijeshi duniani tangu mwaka 2021 lakini utawala wa Biden uliiwekea zuio baada ya kuzukua kwa vita vya Urusi na Ukraine na kufuatiwa na Uturuki kuweka mkwamo wa Sweden kujiunga NATO.
Marekani imeshuhudia mauzo yake ya silaha nje ya nchi yakiongezeka kwa kasi katika kipindi cha miaka mitano iliyopita wakati mauzo ya washindani wake yakiporomoka huku mizozo na vita vikiongezeka duniani.
Kwa sasa soko la mauzo ya nje ya silaha duniani linatawaliwa na mataifa matano makubwa kama ifuatavyo kwa kiwango cha mauzo yao ya nje kidunia.
1. USA 40%
2. Russia 16%
3. Ufaransa 11%
4. China 5%
5. Ujerumani 4%
6. Italia 4%
7. Uingereza 3%
8. Hispania 3%
9. Korea Kusini 2%
10.Israel 2%