Rais Vladimir Putin amefanya safari ya ghafla Ulaya

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,307
35,852
Rais Putin amefanya ziara ya kushtukiza katika jimbo la Kaliningrad linalozungukwa na Nchi za NATO hii imechukuliwa Kama onyo kwa NATO.

: President Putin visits Russian European exclave Kaliningrad on a surprise visit. The area is considered a possible flashpoint for war being cut off from Russia briefly by European sanctions at the start of the Ukrainian war.

NATO believes the surprise visit was intended as a warning to NATO that Russia will continue building up forces to defend the province!!.
IMG_20240126_202021.jpg
 
NATO believes the surprise visit was intended as a warning to NATO that Russia will continue building up forces to defend the province!!.View attachment 2883679
Kama ni kweli, vp ile RB ime-expire au :rolleyes:
 
Screenshot_2024-01-26-22-06-52-346_com.android.chrome~2.jpg
 
jimbo la Kaliningrad

Unafahamu kuna treaty ngapi za kuhusu Kaliningrad ?

Kaliningrad, Russia
Kaliningrad, Russia
Kaliningrad, oblast (region), extreme western Russia. Most of the oblast is in the basin of the Pregolya River and its tributaries. Centred on Kaliningrad city, it was formed in 1945 from the northern half of German East Prussia, which was ceded to the U.S.S.R. by the Potsdam agreement of that year. Administratively, the oblast was made part of the Russian S.F.S.R., even though it was separated from the parent republic by about 225 miles (360 km) of territory belonging to the Lithuanian, Belorussian, and Latvian republics of the U.S.S.R. When those republics achieved their independence from the collapsing Soviet Union in 1991, the Kaliningrad oblast became a true exclave completely separated by them from the rest of Russia..

With the September 12, 1990 treaty between the Federal Republic of Germany and the German Democratic Republic—Germany surrendered control of the former Konigsberg region but, “...it did not transfer its sovereignty over the Kaliningrad Territory to the Soviet Union or to any other country.” 4 Moreover, the four WW II ...

1706296649582.png
МИД России
https://www.mid.ru › ...
On Entering into Force of the Treaty between the Russian Government ...

The Treaty is designed for creating a favourable regime of entering and stay of citizens of Kaliningrad region of the Russian
 
Rais Putin amefanya ziara ya kushtukiza katika jimbo la Kaliningrad linalozungukwa na Nchi za NATO hii imechukuliwa Kama onyo kwa NATO.

: President Putin visits Russian European exclave Kaliningrad on a surprise visit. The area is considered a possible flashpoint for war being cut off from Russia briefly by European sanctions at the start of the Ukrainian war.

NATO believes the surprise visit was intended as a warning to NATO that Russia will continue building up forces to defend the province!!.

Kaliningrad ni Russia hata Bambo na Mtanga wanajua kuhusu hilo.
Ni vile tu Russia hajiamini kuhusiana na eneo hilo sababu lipo Ulaya Kabisa. Kaliningrad hawana mpango wa kutaka kurudi ujerumani , lakini kuna dalili wakaja kudai kuwa nchi huru.
Kuna kila dalili wanataka kurudisha lile jina lao la asili la Kijerumani la Königsberg, badala ya hili la Ki russia la Kaliningrad.
Wameanza ku rename vitu vingi kurudi zama za Kijerumani, wame rename kuanzia beer yao pendwa na vitu vingine vingi tu. Ila hawana mpango wa kurudi Ujerumani, wala Ujerumani hawahitaji lakini wanatafuta njia ya kuwa huru sababu wanajihisi walipo siyo kwao.
 
Maisha ya Kaliningrad

View: https://m.youtube.com/watch?v=GqYOZuT7TtY

Russia inapeleka mambo mazuri ya kiuchumi Kaliningrad kama vile Tanganyika inavyopeleka miradi kibao Zanzibar. Wakaazi wa Kaliningrad maisha ni mazuri kuliko Russia kiasi hawawazi kuenda Lithuanian, Belorussian, Latvian Republic wala nchi yoyote ya ulaya Magharibi jinsi walivyoharibiwa na uchumi mzuri pia maisha bora ktk jimbo la Russia la Kaliningrad

1706297564831.png

Mwaka 1936 meli kubwa ya kivita ya Germany ilipewa jina Königsberg
 
Kaliningrad ni Russia hata Bambo na Mtanga wanajua kuhusu hilo.
Ni vile tu Russia hajiamini kuhusiana na eneo hilo sababu lipo Ulaya Kabisa. Kaliningrad jawana mpamha wa kutaka kurudi ujerumani , lakini kuna dalili wakaja kudai kuwa nchi huru.
Kuna kila dalili wanataka kurudisha lile jina lao la asili la Kijerumani la Königsberg, badala ya hili la Ki russia la Kaliningrad.
Wameanza ku rename vitu vingi kurudi zama za Kijerumani, wame rename kuanzia beer ya pendwa na vitu vingine vingi tu. Ila hawana mpango wa kurudi Ujerumani, wala Ujerumani hawahitaji lakini wanatafuta njia ya kuwa huru sababu wanajihisi walipo siyo kwao.
Ujerumani anaihitaji kaliningrad kuliko hio kaliningrad inavyojihitaji
Ila tu kwanza anaanzaje anzaje mpaka aichukue
Kaliningrad ni sehemu muhimu sana na ndio sehemu inayowanyima nato usingizi kwasasa
 
Back
Top Bottom