Kiongozi Mkuu wa Hamas: Gaza patakuwa ndio kaburi la Ndoto za Benjamin Netanyahu

daydreaming
wale jamaa vitisho tu kila siku , kwani si jeshi la israel lipo kule ,siazi wamekamata asilimia 88 ya gaza , hamas ishafeli, wakubali tu hilo
Hivi vivaa kobazi mikwara kila day hakuna kinachofanyika wapuuzi tu
Screenshot_20231226-191330.png
 
Russia amepoteza wanajeshi wangapi kwenye vita dhidi ya Ukraine?
Wakati mwingine tumieni akili kidogo tu, Gaza ni ki wilaya, Ukraine ni nchi kubwa kieneo ni sawa na hi Tanzania.

NATO wameweka silaha zote Ukraine imeshindikana kumdhoofisha Russia.

Israel imepewa masilaha yote imeshindwa kupambana na vijana Wana rpg na ak47, sidhani hata bullet proof wanazo, Cha ajabu IDF ni mwezi wa 4 unakwenda ngoma nzito.

Hakuna mtu anakataa Kila Vita Askari wanakufa lakini kwa uwezo wa Israel tulioaminishwa na media's, technology waliyonayo, intelligence haikupaswa waaibike kiasi hiki.

Ni aibu juu ya aibu, reputation yao imeharibika, heshima ya kubumba waliojitengenezea hawana Tena, dunia imetambua ukweli.

Hata hapa jamiiforums, wa Israel kutoka Kasulu vijijini mlikuwa mkiongea kwa dharau na kejeli kwamba Hamas ni kakikundi ka vijana waliochoka wavaa kobazi watapigwa wachakae siku 2, Sasa akili zinaanza kuja kwamba Hamas ni kina Nani? Hamas ni kikundi Cha vijana wenye mafunzo ya kawaida ya jeshi, Israel ndio tatizo ipo overrated, Israel Haina tofauti jeshi la Congo tofauti wao wana jeshi la anga Bora ambalo kwa kiasi kikubwa ni mchango wa USA.

Lakini jeshi la anga halijawa chochote kwenye hi Vita.

Hapo Bado hamjaona show, mwaka huu mtashangaa.
 
Kiongozi Mkuu wa Hamas yuko mubashara Al jazeera tv akiongea na Dunia nzima

Amesema ICJ wanahimiza Vita isimame nasi tupo tayari kutii

Aidha amesema Gaza patakuwa ndio kaburi la Ndoto za Benjamin Netanyahu

Source Al jazeera Live, Beirut
Mwambie aamke kumekucha atajikojolea.
 
Wakati mwingine tumieni akili kidogo tu, Gaza ni ki wilaya, Ukraine ni nchi kubwa kieneo ni sawa na hi Tanzania.

NATO wameweka silaha zote Ukraine imeshindikana kumdhoofisha Russia.

Israel imepewa masilaha yote imeshindwa kupambana na vijana Wana rpg na ak47, sidhani hata bullet proof wanazo, Cha ajabu IDF ni mwezi wa 4 unakwenda ngoma nzito.

Hakuna mtu anakataa Kila Vita Askari wanakufa lakini kwa uwezo wa Israel tulioaminishwa na media's, technology waliyonayo, intelligence haikupaswa waaibike kiasi hiki.

Ni aibu juu ya aibu, reputation yao imeharibika, heshima ya kubumba waliojitengenezea hawana Tena, dunia imetambua ukweli.

Hata hapa jamiiforums, wa Israel kutoka Kasulu vijijini mlikuwa mkiongea kwa dharau na kejeli kwamba Hamas ni kakikundi ka vijana waliochoka wavaa kobazi watapigwa wachakae siku 2, Sasa akili zinaanza kuja kwamba Hamas ni kina Nani? Hamas ni kikundi Cha vijana wenye mafunzo ya kawaida ya jeshi, Israel ndio tatizo ipo overrated, Israel Haina tofauti jeshi la Congo tofauti wao wana jeshi la anga Bora ambalo kwa kiasi kikubwa ni mchango wa USA.

Lakini jeshi la anga halijawa chochote kwenye hi Vita.

Hapo Bado hamjaona show, mwaka huu mtashangaa.
Hamas wanapigana na Israel combat war au vita ya aina gani? Tuanzie hapo kwanza. Hakuna taifa lolote chini ya jua ambalo lingekuwa limefanikiwa kwenye hii vita zaidi ya Israel amini hivyo. Ukumbuke Israel ana mamia ya mateka wa hamas wale uliowaona wanatembezwa uchi,wanahojiwa na kutoa Siri lkn mazingira ya hii vita hayakuhusu Israeli kumaliza vita kirahisi kwa style unayofikilia wewe. Hata awe Russia,Us,China...wote hawa wangekuwa wanahangaika kama anavyohangaika Israel. Marekani alipigana vita na Iraq ndani ya siku 21 alikuwa amefika kila mahali na Sadam akawa ameshakimbia Ikulu lkn baada ya hapo alipoteza askari wengi kuliko wakati anapigana combat war. Maana alianza kukabiliana na adui asiye na gwanda wala hatokei kambini.....vivyo hivyo Hamas hawavai gwanda wala hawana kambi ya kijeshi.
 
Israel ilishapigana na Hezbollah 2006, Israel ilishindwa ku defeat Hezbollah.

Usiingize Russia, Russia Ina history yake huko Chechnya Wala usilinganishe na US n.k

Ni upumbavu licha ya intelligence, fedha na silaha zote eti silaha kichomi kwa Israel iwe ni Hamas kutovaa sare maalum, mbona Kuna askari wengi wa Hamas wanajulikana hata kwa kuwatizama, wengine Wana gwanda, wengine Wana silaha n.k Yani Wana identity kabisa.

Israel uwezo wake ni overrated.
 
Back
Top Bottom