USA Yasimamisha Michango Kwa UNRWA

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,547
41,058
Wanasema siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.

Marekani na nchi za Ulaya ndio wachangiaji wakubwa wa UNRWA huko Gaza. UNRWA imekuwa ikiwasaidia wapalestina kwa kiasi kikubwa katika kugharamia huduma za afya na matibabu, chakula na makazi.

Sasa Marekani imemtaarifu katibu Mkuu wa UN kuwa inasimamisha kuichangia UNRWA kwa sababu kuna taarifa kuwa wafanyakazi wake 12 walishiriki kwenye shambulio la kigaidi dhidi ya Israel.

Katibu Mkuu wa UN, ameunda Tume haraka ya kufanya uchunguzi, na uthibitisho utakapopatikana, wafanyakazi hao 12 watafukuzwa kazi na kushtakiwa.

Hapo ndipo utakapoona intelijensia ya Israel ilivyo makini. Wakati Israel ikishambulia ofisi za UNRWA, hospitali na baadhi ya shule zinazomilikiwa na UNRWA, kila mmoja alishangaa dhidi ya uamuzi huo wa Israel. Kumbe Waisrael inaonekana walikuwa na taarifa za kutosha kuwa wafanyakazi wa UNRWA kuitumia taasisi hii ya UN kufanikisha ugaidi.

Katibu mkuu amesikitishwa sana na taarifa hii.

U.S. pauses funding for U.N. refugee agency amid allegations staffers were involved in Oct. 7 attacks

The United States is extremely troubled by the allegations that twelve UNRWA employees may have been involved in the October 7 Hamas terrorist attack on Israel," State Department spokesperson Matthew Miller said in a statement this afternoon.

Miller said Secretary of State Antony Blinken spoke with Secretary-General Antonio Guterres yesterday "to emphasize the necessity of a thorough and swift investigation of this matter," adding that Washington welcomes an investigation by the United Nations and its review of UNRWA.

“UNRWA plays a critical role in providing lifesaving assistance to Palestinians, including essential food, medicine, shelter, and other vital humanitarian support,” Miller said. “Their work has saved lives, and it is important that UNRWA address these allegations and take any appropriate corrective measures.

UNRWA investigates staff accused of taking part in Oct. 7 attacks

The head of the United Nations agency for Palestinian refugees said today that it had started investigations into staff who were suspected of being involved in the Oct. 7 attacks on Israel.

“The Israeli Authorities have provided UNRWA with information about the alleged involvement of several UNRWA employees in the horrific attacks on Israel,” Philippe Lazzarini, the commissioner general of the United Nations Relief and Works Agency, said in a statement.

Condeming the attacks and urging the release of Israeli hostages, he said that those found to have been involved would be held accountable and criminally prosecuted. Some had already had their contracts terminated, he added.

Wakati huo huo China imetaka Iran kuhakikisha mashambulizi ya Houthis dhidi ya meli za kibiashara yanatakoma, la sivyo iwe tayari kuharibu mahusiano ya kibiashara na China.

Ifahamike kuwa China na Urusi ndiyo mataifa pekee makubwa yenye mahusiano mazuri na Irani.

China presses Iran to rein in Houthi attacks in Red Sea, sources say

Chinese officials have asked their Iranian counterparts to help rein in attacks on ships in the Red Sea by the Iran-backed Houthis, or risk harming business relations with Beijing, four Iranian sources and a diplomat familiar with the matter said.
 
Kiufupi these people cannot co-exist in the same part of the world. the Jews are ruthless and the Palestinians are resilient.a dangerous mix.

nasikitikia hao wasio na hatia especially watoto wadogo
 
Israel and USA are evil nations.
 
Hata hospital pia walisema kuna kambia ya hamas wakashambulia wakaua mpk madaktari mwisho wa siku hakuna kitu hapo gaza kumewashinda hakuna cha integelince uongo mtupu.
 
HAMAS mwisho wao umefika tayari...baada ya miezi 8 hakutakuwa tena na hawa magaidi wa HAMAS
20240102_205742.jpg
 
Hiyo UNRWA wafanyakazi wake wengi ni HAMAS. Yaani UNHCR ambayo inahudumia wakimbizi wote duniani ina wafanyakazi 52,000 duniani kote. Lakini hiyo UNRWA inayohudumiwa Wapelestina wa Gaza wasiozidi Milioni 3 ina wafanyakazi 38,000. Baada ya Marekani na Ulaya kushituka kumbe zaidi ya HAMAS 25,000 wamejivika Mavazi ya wafanyakazi wa UNRWA huku wakiwa wameficha Mabomu ni Silaha zingine kwenye makoti ya Kikazi yenye nembo za UN. Baada ya Israel kusituka ameanza kuwavurumishia makombora hukohuko.
 
Wanasema siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.

Marekani na nchi za Ulaya ndio wachangiaji wakubwa wa UNRWA huko Gaza. UNRWA imekuwa ikiwasaidia wapalestina kwa kiasi kikubwa katika kugharamia huduma za afya na matibabu, chakula na makazi.

Sasa Marekani imemtaarifu katibu Mkuu wa UN kuwa inasimamisha kuichangia UNRWA kwa sababu kuna taarifa kuwa wafanyakazi wake 12 walishiriki kwenye shambulio la kigaidi dhidi ya Israel.

Katibu Mkuu wa UN, ameunda Tume haraka ya kufanya uchunguzi, na uthibitisho utakapopatikana, wafanyakazi hao 12 watafukuzwa kazi na kushtakiwa.

Hapo ndipo utakapoona intelijensia ya Israel ilivyo makini. Wakati Israel ikishambulia ofisi za UNRWA, hospitali na baadhi ya shule zinazomilikiwa na UNRWA, kila mmoja alishangaa dhidi ya uamuzi huo wa Israel. Kumbe Waisrael inaonekana walikuwa na taarifa za kutosha kuwa wafanyakazi wa UNRWA kuitumia taasisi hii ya UN kufanikisha ugaidi.

Katibu mkuu amesikitishwa sana na taarifa hii.

U.S. pauses funding for U.N. refugee agency amid allegations staffers were involved in Oct. 7 attacks

The United States is extremely troubled by the allegations that twelve UNRWA employees may have been involved in the October 7 Hamas terrorist attack on Israel," State Department spokesperson Matthew Miller said in a statement this afternoon.

Miller said Secretary of State Antony Blinken spoke with Secretary-General Antonio Guterres yesterday "to emphasize the necessity of a thorough and swift investigation of this matter," adding that Washington welcomes an investigation by the United Nations and its review of UNRWA.

“UNRWA plays a critical role in providing lifesaving assistance to Palestinians, including essential food, medicine, shelter, and other vital humanitarian support,” Miller said. “Their work has saved lives, and it is important that UNRWA address these allegations and take any appropriate corrective measures.

UNRWA investigates staff accused of taking part in Oct. 7 attacks

The head of the United Nations agency for Palestinian refugees said today that it had started investigations into staff who were suspected of being involved in the Oct. 7 attacks on Israel.

“The Israeli Authorities have provided UNRWA with information about the alleged involvement of several UNRWA employees in the horrific attacks on Israel,” Philippe Lazzarini, the commissioner general of the United Nations Relief and Works Agency, said in a statement.

Condeming the attacks and urging the release of Israeli hostages, he said that those found to have been involved would be held accountable and criminally prosecuted. Some had already had their contracts terminated, he added.

Wakati huo huo China imetaka Iran kuhakikisha mashambulizi ya Houthis dhidi ya meli za kibiashara yanatakoma, la sivyo iwe tayari kuharibu mahusiano ya kibiashara na China.

Ifahamike kuwa China na Urusi ndiyo mataifa pekee makubwa yenye mahusiano mazuri na Irani.

China presses Iran to rein in Houthi attacks in Red Sea, sources say

Chinese officials have asked their Iranian counterparts to help rein in attacks on ships in the Red Sea by the Iran-backed Houthis, or risk harming business relations with Beijing, four Iranian sources and a diplomat familiar with the matter said.
Hii Miislam ni kuifanyia hayo hayo. Kwa ni wa*nzi. Ona sasa hapa chini yamekaribishwa Canada, na sasa inavuka mipaka mpaka kuvuruga Ibadan za watu

View: https://x.com/GoldingBF/status/1750951544822894704?s=20
 
Back
Top Bottom