Mashtaka dhidi ya Israeli mauaji ya Kimbari ICC kesi kusomwa tarehe 11 January

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,630
15,955
Mashtaka yaliyowasilishwa katika mahakama ya kimataifa ya ICC dhidi ya mauaji ya kimbari ya watoto na wanawake huko palestina yamepangwa kuanza kusikilizwa rasmi kuanzia tarehe 11 mwezi huu huko Hague Netherlands.

South Afrika ndio nchi iliyofungua kesi hiyo na tayari israeli wamejibu kuwa watapeleka wanasheria wao katika mahakama hiyo ya kimataifa.

Hii imekaa vibaya kwa upande wa Israeli maana yake kuna kila dalili watashindwa hii kesi na hukumu yake itakuwa nzito japo wataipinga lakini itakuwa imeshaingia katika record rasmi. Je huu ni mwanzo wa mwisho wa Taifa bandia la israeli katika nchi ya wapalestina?

Tusubiri tuone.
Screenshot_20240102_182742_X.jpg
 
Tusubiri tuone.View attachment 2860241
Uncle Sam atamkingia kifua.
 
Dua la kuku halimpati mwewe
 
Anaetakiwa kufunguliwa mashtaka ni Hitler
Kwanini aliwabakisha hawa wajinga mpaka sasa wanaisumbua dunia namna hiii
Hitler alikosea sana alitakiwa afyeke mpaka kuku mbuzi farasi michicha kila chenye asili ya kizayuni angekifyeka bwege yule
Yeye ndio katuachia kansa ya ulimwengu
 
Siyo Hitler mkuu, Vatican ndo wanatakiwa kuburuzwa ubaoni kwa kuanzisha hii imani ya ajabu
 
Mashtaka yaliyowasilishwa katika mahakama ya kimataifa ya ICC dhidi ya mauaji ya kimbari ya watoto na wanawake huko palestina yamepangwa kuanza kusikilizwa rasmi kuanzia tarehe 11 mwezi huu huko Hague Netherlands.

South Afrika ndio nchi iliyofungua kesi hiyo na tayari israeli wamejibu kuwa watapeleka wanasheria wao katika mahakama hiyo ya kimataifa.

Hii imekaa vibaya kwa upande wa Israeli maana yake kuna kila dalili watashindwa hii kesi na hukumu yake itakuwa nzito japo wataipinga lakini itakuwa imeshaingia katika record rasmi. Je huu ni mwanzo wa mwisho wa Taifa bandia la israeli katika nchi ya wapalestina?

Tusubiri tuone.View attachment 2860241
ICC waliojaa wakiristo wawaonee huruma watoto Hamas. Ingalikua Ukrain kweli
 
The indictment is baseless because Israel has been reacting to the provocation by the Hamas terrorists.
 
Waanze kwanza kuwashtaki hamas Kwa kuua raia zaidi ya 1200 ikiwemo Watanzania wenzetu wawili.
 
Back
Top Bottom